zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,620
- 1,344
Vishtobe mauaVinaniii vinini fungukaaa
Vishtobe mauaVinaniii vinini fungukaaa
Hawabadiliki HawaUkigundua yuko hivyooo endelea kumuhamasisha atabadilika
Mnapokuwa 6*6 jitahidi kumuhamadisha mar kwa mar usichoke mwishoe atajifunza kitu,
Hayupo humu,hayupo social network yoyote zaidi ya WhatsApp,,muda wote yupo bize kama anatengeneza nyukliaMforwardie hiyo post
mhn! wewe utakuwa afadhali kwa kuwa angalau unaangalia mitandao ninaye boss wangu hapa hana muda hata wa kuingia huko yeye ni maendeleo na kumtafuta MUNGU basi hana muda wa kukufatilia.Nlizani niko peke angu
Neno.Mungu ni mungu hatoi vyote kwa pamoja
Usije kuwalaaumu wala kuwachukia ndo walivoumbwa
Teh

Ha haaa hii kali!Hayupo humu,hayupo social network yoyote zaidi ya WhatsApp,,muda wote yupo bize kama anatengeneza nyuklia
mhn! wewe utakuwa afadhali kwa kuwa angalau unaangalia mitandao ninaye boss wangu hapa hana muda hata wa kuingia huko yeye ni maendeleo na kumtafuta MUNGU basi hana muda wa kukufatilia.

Mtu smart lazima kila kitu ajiulize 'why '. Hata akipata genye atajiuliza why? Ukimbusu atajiuliza why? Ndio maaa utakuta wee uko busy balaa...kumbe mwenzako anajiuliza why. Watu smart hawalegei hovyohovyo. Ukikuta mtu analegea hovyohovyo eti yuko romantic, chunguza vyeti vyake.![]()
Mtu smart lazima kila kitu ajiulize 'why '. Hata akipata genye atajiuliza why? Ukimbusu atajiuliza why? Ndio maaa utakuta wee uko busy balaa...kumbe mwenzako anajiuliza why. Watu smart hawalegei hovyohovyo. Ukikuta mtu analegea hovyohovyo eti yuko romantic, chunguza vyeti vyake.![]()
Mapenzi ni overrated... sio ya kuendekeza sana na kuyawaza kila saaa.....
ulaya, asia na north america wanaendelea sana sababu mapenzi kwao sio kitu cha kuwasumbua akili sana
na ndoa zao kuvunjika sio ishu
Sure...!! Usipoomba game, hatakaa aulizie hata siku moja.Aisee hio kitu ni true kinoma, ongezea hapo usipoomba game hatakaa aulizie hilo swala kabisa. Ye mapenzi kwake sio priority kabisa. Ila trust me ukitaka kupata watoto smart upstairs zaa na mwanamke wa hivyo.
Mmmh...!! Mmoja out of fifty....!!!Siyo kweli. Wapo wanawake smart na watundu pia.
nikusaidie?Wanaume bwana sasa mnataka mpate kila kitu. Kuna wadada natamani kuwatag hapa![]()
![]()