Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
Nifurahie nnWewe tenaaa lazima ufurahieeee![]()
Nifurahie nnWewe tenaaa lazima ufurahieeee![]()
Kweli..Siyo kweli. Wapo wanawake smart na watundu pia.
Duu! ..pole mazee.Mbona kama unamuongelea huyu niliyenaye!?
Ameolewa mkuu? Ndio naotaka haoAissee hiyo kitu ni kweli kabisa. Kuna dada mmoja oficn hapa kama uzuri Mungu aliumba akaumbika, dada hatumii makeup lakini anawaka kama jua,simply she is beautiful. Alaf kasoma, she is smart, ukikaa ukamsikiliza ana ideas nzuri kweli za maendeleo. Ila sasa kwenye pande za love ni zero kabisa. Sijui ni kuwa hajui au muda mwingi anawaza maendeleo.
Yupo sahihiHapana mwanzo kutokana na situation za mimba akiwa dent nlijiweka pembeni kidogo ila nw yupo busy na masomo na dini tu kila ukigusia anasisitiza mpaka amalize masomo
Hajaolewa.Ameolewa mkuu? Ndio naotaka hao
Mkuu njoo pm unipe connection ananifaa hiyo, serious MkuuHajaolewa.
Umekujanilitaka kukuita nikwambie kuna watu wanakusengenya huku
Karibu Mwanamke wa masafara marefu.Hahaha!, Khantwe wewe..
Nimewasili hatimae, nyie nioneeni tu...lol
Karibu Mwanamke wa masafara marefu.
Nasikia Trump katumbua mtu huko
Hahaha!, Khantwe wewe..
Nimewasili hatimae, nyie nioneeni tu...lol
mtoa mada ndio kakuonea sio mimi