Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,390
- Thread starter
- #61
Hayupo humu,hayupo social network yoyote zaidi ya WhatsApp,,muda wote yupo bize kama anatengeneza nyuklia
. Umenichekesha sn mkuu..!! Daaah...!!!Hayupo humu,hayupo social network yoyote zaidi ya WhatsApp,,muda wote yupo bize kama anatengeneza nyuklia
. Umenichekesha sn mkuu..!! Daaah...!!!Msaidie mkuunikusaidie?
Hayupo humu,hayupo social network yoyote zaidi ya WhatsApp,,muda wote yupo bize kama anatengeneza nyuklia

Ndo wakutane masmart tupu mkutano ni siku za joto la mwili tu ha ha haaKweli kabisa kwani mwanaume hapaswi kuwa romantic??
Nisaidie mwayanikusaidie?
Hawana muda wa fashion wala Brazilian hairWengi wa hawana wanawake, ndoa zao zimewashinda. Kwasababu ya kua bize kusoma sana au kufanya kazi sana.
Na wengi wao hawana mvuto, hila ni wanawake wazuri kufanya nao kazi zaidi ya kumuweka ndani.
Kwani na wewe ni smart?Yan hao wanawake ndo mm kabisaaaa
NotedInashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia kusaidiana kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. And of course kuna faida nyingi tu, kuwa na mwanamke aliye smart upstairs.
Tatizo lililopo kwa hawa wanawake smart kichwani ni kwamba wengi wao sio romantic. Huchukulia mapenzi kwao kama ni kitu cha tatu after maendeleo yao binafsi, na kuwa bize na other issues kma kusoma kila wakati na ikitokea kuna mabishano au kupishana kidogo tu, they never go down, na ni wachache mno kukuta wanaomba samahani, regardless kosa ni la nani. Atapambana mpaka mwisho hata kama kakosea yeye.
Na kwakuwa mapenzi kwa wengi wao hawayapi kipaumbele, basi kitandani wanachojua wao dushelele likiingia basi, ndo washamaliza. Hakuna utundu wowote. Hapa sasa mume akijaribu tu kuchepuka kwa kina Mwajuma Sinanoma, Aisha, etc, watoto ambao ni wa uswazi, lazima apagawe.
Maneno yangu sio sheria!
Aisee..... Ngoja nijitathmini nione kama mimi niko smart au romantic
hahaa yaani wewe ndio hao wanawake !!?Yan hao wanawake ndo mm kabisaaaa
mkuu hao nikama mimi tu ...mapenzi kwangu ni sec .preority ""Mapenzi ni overrated... sio ya kuendekeza sana na kuyawaza kila saaa.....
ulaya, asia na north america wanaendelea sana sababu mapenzi kwao sio kitu cha kuwasumbua akili sana
na ndoa zao kuvunjika sio ishu
HAHAAAAMtu smart lazima kila kitu ajiulize 'why '. Hata akipata genye atajiuliza why? Ukimbusu atajiuliza why? Ndio maaa utakuta wee uko busy balaa...kumbe mwenzako anajiuliza why. Watu smart hawalegei hovyohovyo. Ukikuta mtu analegea hovyohovyo eti yuko romantic, chunguza vyeti vyake.![]()
hapana huyo atakuwa ni mahondawKwani na wewe ni smart?