Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,310
- 40,588
Owky ntatumia hizo njiaHuyo anaogopa asije akaidaka ingine .......angekuwa hataki kweli msingekuwa na mawasiliano ,hapo ni wewe unatakiwa kumbrainwash kidogo aondoe anachokiwaza atakubali tuuu
Sometime a girl anataka kuwa pushed wewe ndo unamaamuz ya do’s na don’t na sio kusikiliza kila anachokwambia .....mpe maneno ikishindikana mwambie amlete mtoto umuone au mtoke out na mtoto lazima aingie king siku ingine atajileta mwenyew .
nilitaka kukuita nikwambie kuna watu wanakusengenya huku