Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Mie nikiona kitambi kinanimaliza kabisa
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
 
Mkuu Kimbweka Wanawake wengi siku hizi wantoka kitambi kwa sababu ya Wanatumia Dawa za uzazi wa mpango. Madhara ya uzazi wa mpango w a kisasa ni hatari

kwa afya, haswa kwa nduguzetu wenye jinsia ya kike miongoni mwa madhara kwa watumiaji wa Vidonge, Sindano n.k ni;

  1. Kansa ya kizazi na matiti
  2. Kuvurugika kwa kalenda
  3. Kushindwa kushiriki vyema tendo la ndoa (kwa wanandoa) au uzinifu (kwa wasio wanandoa)
  4. Kutokwa na tumbo (mithili ya kitambi) kwa wanawake.
  5. Kupata ujauzito kwa kubahatisha.
  6. Mengineyo...
 
Last edited by a moderator:

Umenena kweli MziziMkavu .hasa hapo no 4........mengineyo kuota nywele usoni,kukonda kupita kiasi and viceversa,kutoshika mimba kabisa,kubadika tabia wengine wanakuwa wakali kweli loh!
 
Hii ya vitambi iko hasa kwa wanawake wa ki iraqw(wambulu) karatu.Utakuta binti mdogo tu ana kakitambi,sijui tatizo ni nini.
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?

Wewe unawashangaa, wenzako wanaona ujiko kuwa na vitambi.
 
Hii ya vitambi iko hasa kwa wanawake wa ki iraqw(wambulu) karatu.Utakuta binti mdogo tu ana kakitambi,sijui tatizo ni nini.

Huko umeenda mbali. Hapa Bongo siku hizi utakuta hata kabinti ka darasa la 7 kana mbonge wa tambi. Hapo tu hakajazaa, akizaa je? Yaani kwa sasa Bongo mwanamke kuwa na kitambi ni fashion kama ilivyo kunuka kwa watu (Makwapa, mdomo, chupi, na mwili).
 
Tatizo kubwa kufakamia supu ya nyama nyekundu hasa asubuhi. ikiwa joto la mnyama linafika mpaka c40. na la huyu mwanadama ni c31. ni dhahiri kuwa itachukuwa muda kuyeyusha mafuta ndani ya tumbo hilo. ikiwa mafuta ya jana hayajayeyuka mtu leo anafakamia tena supu. kwa kujidanganya ana jenga shavu. this is serious more dangerous we must take action Bhana
 
Dawa za uzazi wa mpango na za kudhibiti mimba
 
hiyo ya kwanza, naikataa.lete reference.Tafiti zimeonyesha COC protects against endometrial carcinoma.Ni aina gani ya kansa ya kizazi unayoizungumzia?kuna aina zaidi ya moja kansa za kizazi.

Back
Top Bottom