Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Halafu wadada wengi.mkiwa mnakaribia kupata NENO wanaona aibu kweli kutamka neno UKIMWI ukiwambia tusitumie kinga wengi hujibu eti wanaogopa mimba!Inabidi kuwatisha kwa kuwambia "mm unaniamini?" ili uweze kutumia kinga kwa.kisingizio cha.kutomuambukiza yeye kumbe na ww unajikinga.Kwa vyo vyote vile UKIMWI bado upo CHUKUA TAHADHARI
 
asante mkuu twenda na wewe tukavishwe dawa ya penzi afu tununue utamu
 
Mwanaume anae jielewa hawez kuvaa useng kam huu kwanza ninan kakwambien kondom inakinga hamn kitu kam hich kam hamjui ndoo mjue ss kondon haisaidii chocho mzungu sio mjinga ban me siwez kujipiga goli mwenyew alaf najisif kwawanaume wenzang et nimetomba kamwe siwez fany iv namkae mkijua unawez ukavaa king naukafa kwauaminif ile nikam ngoz tu umesugua alaf unajikojolea mwenye [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mshamb hawez kuelewa
 
Mwanaume anae jielewa hawez kuvaa useng kam huu kwanza ninan kakwambien kondom inakinga hamn kitu kam hich kam hamjui ndoo mjue ss kondon haisaidii chocho mzungu ss mjinga ban me siwez kujipiga goli mwenyew alaf najisif kwawanaume wenzang et nimetomba kamwe siwez fany iv namkae mkijua unawez ukavaa king naukafa kwauaminif ile nikam ngoz tu umesugua alaf unajikojolea mwenye [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mshamb hawez kuelewa
Uandishi wako ni wa kishamba sana
 
Mimi nshakimbia demu gest kisa hataki kufanywa na condom aisee niliona kama mzuka unapanda nikaona nivae ndukiiii nikamdanganya nimeitwa kazini baada ya nusu SAA nikamtumia 20 nikmwambia nimetumwa kikazi chumba nshalipia kula msosi na uchukue bajaji mpk kwenu
 
Kwani inapoingia condom ndio mkojo unapopita ? kaangalie tena vizuri ni matundu mawili tofauti
Wewe ni mgeni naona kwa hawa viumbe! Mkojo ukitoka lazima upite kwenye vulva, ndani ya vulva uko sahihi kuna vitundu viwili, urethra cha mkojo na vagina kwa ajili ya reproduction. Hicho kitundu cha mkojo (urethra) kipo ndani ya vulva nacho, hivyo kwenye kutoka nje kwa mkojo ni lazima upite kwenye vulva, michubuko hiyo hutokea mara nyingi maeneo yanayozunguka "lips" hivyo yakiguswa na 'maji yenye chumvi' yaani mkojo, huuma. Vulva kwa lugha rahisi ni ile opening unayoiona.
 
Back
Top Bottom