Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwenye nini sasa mkuu

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wanene wengi sio wachoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hakuna ata miss humu atupe majibu ya roho zao? Ila wengi wao tatizo wanajislim kutak umiss ila wana roho nzuri mfano wema sepenga anatoa huyo hataki kubaki na miroho ya ajabu ajabu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unanikumbsha mbali kuna jamaa yang akati tuko advnc alikuwa anamla mama moja hivi tulikokua tunakula mihogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app

huyo mama lazima alikuwa mnene sijui hawanaga akili
 
Wana saikologia wengi wanakubaliana kuwa watu wanene kwa asili (wanaume na wanawake) wengi wao ni
very friendly, Charming, forgiveness na hawaweki vitu rohoni hii huwafanya wafanikiwe sana kwenye biashara kuliko wengine
Ila haujasema kuwa watu wembamba wana tabia mbaya!!
 
Ukitaka kujua tofauti ya mwanamke bonge na kimbaumbau ni pale ukifumaniwa bonge hana shida mtaongea yataisha na maisha yataendelea ,sasa jiroge ufamaniwe na kimbaumbau dunia utaiona ndogo utatamani uhamie sayari ya mars kwa muda tifu litaendelea zaidi ya miezi kadhaa.

Task Force12
 
Najiuliza humu JF wanawake wengi ni wanene au wanawake wembamba wa humu wamekubaliana na utafiti? Maana siwaoni wakikanusha!
 
Na wana huruma sana,vimbaumbau wengi wana roho mbaya sana
 
Ukitaka kujua tofauti ya mwanamke bonge na kimbaumbau ni pale ukifumaniwa bonge hana shida mtaongea yataisha na maisha yataendelea ,sasa jiroge ufamaniwe na kimbaumbau dunia utaiona ndogo utatamani uhamie sayari ya mars kwa muda tifu litaendelea zaidi ya miezi kadhaa.

Task Force12
Badilika basi!
 
Wana saikologia wengi wanakubaliana kuwa watu wanene kwa asili (wanaume na wanawake) wengi wao ni
very friendly, Charming, forgiveness na hawaweki vitu rohoni hii huwafanya wafanikiwe sana kwenye biashara kuliko wengine
Ila haujasema kuwa watu wembamba wana tabia mbaya!!
Mkuu ujamalizia utafiti sema tu wana roho mbaya

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kujua tofauti ya mwanamke bonge na kimbaumbau ni pale ukifumaniwa bonge hana shida mtaongea yataisha na maisha yataendelea ,sasa jiroge ufamaniwe na kimbaumbau dunia utaiona ndogo utatamani uhamie sayari ya mars kwa muda tifu litaendelea zaidi ya miezi kadhaa.

Task Force12
Yaani ukifumwa mkuu moto kama BF2 ile ndege ya mmarekani wanagubu hao

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana Jf? Kwa ukweli wa roho yngu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani ase mbayaa mpka basi! Tupeane uzoefu jamani tulipo

Post sent using JamiiForums mobile app
Mpenz wangu Me too naye ni mnene ndio maana anaroho nzuri hivi
 
Back
Top Bottom