Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Inaweza kuwa na kaukweli fulani hivi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wenye wake wanene mtupe nondohapa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
"Ukimpenda mtu,mwambie ukweli na siyo kumpakazia"
 
Habarini wana JF,

Kwa ukweli wa roho yangu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani aisee mbaya mpaka basi.

Tupeane uzoefu jamani tulipo

Post sent using JamiiForums mobile app
Wapi picha tuone tofauti ya hizo roho?
 
Back
Top Bottom