Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Wana roho mzuri kwa sababu miili yao INA mafuta meengi yanayowafanya waridhike haraka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huu utafiti ninaunga mkono kwa zaidi ya 75%

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Iwe mwanamke au mwanaume wakishaanza kuwa wembamba nyongo inakosa pa kujifichia mwishowe inapanda kichwani na kusababisha tabia ambazo wewe unaziita roho mbaya! Huyo mnene akikonda atajikuta ni muhanga wa roho mbaaaya. Utafiti huu nimeufanyia kichwani mwangu. Over!

666
 
Twaweza
 
Wana roho mzuri kwa sababu miili yao INA mafuta meengi yanayowafanya waridhike haraka

Post sent using JamiiForums mobile app
Pia yanasaidia na manyamanyama katika miili yao ase

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana Jf? Kwa ukweli wa roho yngu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani ase mbayaa mpka basi! Tupeane uzoefu jamani tulipo

Post sent using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa......na wanene ni wepesi kusamehe hata ukimkosea.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom