Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Duu inabidi nmunenepeshe waifu awe na karoho kazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu roho nzuri au mbaya haipimwi kwa unene au wembamba wa mtu,
 
Huu utafiti umefanyia KIBITI

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
 
Habarini wana Jf? Kwa ukweli wa roho yngu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani ase mbayaa mpka basi! Tupeane uzoefu jamani tulipo

Post sent using JamiiForums mobile app
Inasemekana pia ni wapishi wazuri.
 
Huu utafiti umefanyia KIBITI

Sent from my Iphone mpyaaa nimenunua million mbili..!!
Mkuranga kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom