Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

wanene hawasumbui akili wakishashiba tu hata umtukane atakurudishia akiwa kalala [emoji3][emoji3][emoji3] wametawaliwa na UVIVUUU
 
ila best usichukue au kudate na mdada mnene niwarahis mpaka bas sijui kwa nini nawachukia hawakatai tam utamla tu
 
ila best usichukue au kudate na mdada mnene niwarahis mpaka bas sijui kwa nini nawachukia hawakatai tam utamla tu
Unanikumbsha mbali kuna jamaa yang akati tuko advnc alikuwa anamla mama moja hivi tulikokua tunakula mihogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pia m nahc wanene wamelizika na hali zao ila wembamba hawaliziki kifupi kwakwel

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haaaa evidence mkuu mbona mie mwembamba ila nasifika kwa roho tamu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haaaa evidence mkuu mbona mie mwembamba ila nasifika kwa roho tamu

Post sent using JamiiForums mobile app
Yaonekana we kipindi ukiwa mtoto ulikuwa bonge[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapa nami nahitaji majibu, nilioa kimbaombao kwa sasa ni bonge. Sijaona mabadiliko ya roho.
Roho ilikuwa inajua kuwa atakuja kuwa bonge tu ko ikajikondisheni kwa miaka kazaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi mamiss wana roho gani vile?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hilo ni kweli kabisa vina kuwa na roho mbaya sana

Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom