Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Eeh mkuu nimeliona hili kwetu ndomna nauliza wanawake wanene wana roho nzuri kuliko vimbau mbau sijui roho yao imebanwa na mbavu samahani lakini

Post sent using JamiiForums mobile app


Hiii thread ni burudani kwa kweli maana comments zingine zinachekesha aisee
 
defence mechanism is an unconscious psychological mechanism that reduces anxiety arising from unacceptable or potentially harmful stimuli.[1] Sigmund Freud was one of the first proponents of this construct

he he he he
 
Tatizo mioyo ya wanawake wembamba iko karibu mno na ulimwengu!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Best mi sio mnene bana ndio mana nimeshangaa.
Kuna uzi flani uliwahi kujielezea ulivyo nikanasa tokea hapo
Sikumbuki ni uzi gani [emoji1]

That's y kila ninapoona avatar yako navuta picha ya msichana flan bonge bonge hivi ( tukunyema)

Nisamehe lakin kama huwa nakuwaziaga tofauti

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Mmh... Mm ni mwembamba but nina roho safi sana! Sasa bwana hapa ofisini kuna limama liboongee, yaani ana roho mbayaa khaa!

Itakua ni tabia tuu ya mtu bwana haiendani na maumbile!
 
Eeh bwana kuna shemela wangu mmoja chibonge Bonge ni ana roho nzuri hakuna...

Naunga mkono utafiti..hahahaja
 
Back
Top Bottom