Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

Kwanini wanawake wanene wana roho nzuri kuliko wale wembaba?

savo

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
294
Reaction score
236
Habarini wana JF,

Kwa ukweli wa roho yangu wanawake wananene wana roho nzuri buana kuliko hawa wembaba sijui wanakuaga wanaroho gani aisee mbaya mpaka basi.

Tupeane uzoefu jamani tulipo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wanene wana roho nene na wembamba wana roho nyembamba ndiyo maana wanakuwa na roho mbaya.

Mfano, Asha bokko

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
Et asha boko[emoji28][emoji28][emoji28] mie sijui ila kuna mama moja hapa kitaani kwetu anahuruma sana kwn kuna mtoto moja hivi alikuwa kapotea ni umri wa miaka ka 10 akamuonea huruma akamsaidia kwa kumhifadhi kwake koroho safi ila ingali ali kulikuwa na mama moja ndo aliyekuwa wa kwanza kumuona na kuita majirani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Roho mbaya ni tabia ya mtu, awe mwembamba au mnene!!!
Hapana kwa wanene ata kama wapo bs 3% na 97% ni wanawake wembamba ndo wenye roho ya kwanini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vimbaumbau vimesonya huko balaa
[emoji28][emoji28][emoji28]ndo uhalisia hapo watulie dawa iwaingie buana uenda watajirekebisha mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aiseeeeeeeh,
Hapa sasa , taasisi ya Twaweza wanaanza kukosa kazi kama tutaendelea hivi.
 
Back
Top Bottom