Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

Bcos miili inakuwa much closer kuliko mkiangaliana. Ila hilo la ufupi umenichekesha kweli. WSijawahi ku date mwanaume mfupi maishani mwangu kwa hiyo hii kwangu ni news

Au labda we mfupi, so automatically wanaume wengi wanakuwa warefu kwako..lol
 
Kwakweli hii nimeipenda and am not sure kama tutapata jibu sahihi hapa bcoz ni kama inasound automatically hivi! Yani hata kwenye muziki mwanamke utaona tu anageuka anakupa mgongo kidogo umshike kiuno! wengine ndo ivo kitandani..mkilala tu kuna muda atageuka na kukupa mgongo na sidhani kama anataka ushike wowowo kiiivo, i think may be kiuno..! I wonder..lakini ndo utamu wenyewe
 
Mimi si mfupi wala mrefu am approx 157 cm kama nakumbuka vizuri maana nimepima long time kitambo. Ila sijawahi kuwa na partner mfupi labda kwa kuwa nimekuwa na two relationships tu kabla ya kuolewa.

Au labda we mfupi, so automatically wanaume wengi wanakuwa warefu kwako..lol
 
Huyo aliyeuliza swali kama yamemkuta hayo basi domo lake linanuka ikabidi bibie ageuke amwachie mashuzi.
 
Japokuwa mtoa mada hujasema hili mimi nahisi wanaume hawapendi hii tabia. Mume wangu mara nyingi unambia anataka ni mface. Sasa na wewe ulipoleta hii mada nataka ku conclude wanaume hawapendi. Au mnasemaje?
 
Yani tumekuelewa vizuri tukichukulia kielelezo cha profile picture yako mkuu.Ila majibu ngoja tuendelee kusikia wahusika
 
Kuna mmoja tulikuwa tunacheza muziki gafla akanipa mgongo midundo haikuwa imekaa kimgongo nikastuck kwa muda ,nafikiri ni sababu ya ule MKUYATI wanaufeel mpaka ubongoni
 
Naunga mkono hoja, maana wanawake hata ku-hug tu wanafeel, utasikia waaaaaaaaaaoooh! iwe barabarani, indoor or wherever!
 
Back
Top Bottom