Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

huwa inampa mwanamke feeling zakuwa secured, hivyo hata yeye anakuwa na amani kifikra.
 
feels damn goooooood... miiili hukonektvizur sana. but also some guys like kukumbatiwa kwa nyuma. ref. to mr.X
 
Sion kama kuna mantik yoyote hapo make kuna baadhi ya kabila mkiwa mmelala then mschan/mwanamke ageuke pemben huwa wanahis kuwa wamdhalau mwanamke so mie sion kama kuna hisia fulan au furaha wanayoipata wasichana, maybe nitalifanyia uchunguz aise!!
 
Wengine hatupendi kupumuliana usoni. Akikupumulia usoni huwezi kuongea vizuri au kulala vizuri...hapo ukute alipitia Q bar...
 
Akikukumbatia kwa nyuma inaleta raha akikuongelesha kwani atataka aguse sikio ndipo raha yake inapokuja kwani lazima apapase shingo kwa uso wake

Binafsi i like that
 
Back
Top Bottom