Kwanini wanawake wanapenda ‘bad boys’?

"For if a magnet is placed in a uniform magnetic field then both poles will feel the same magnetic force but in opposite directions, since they have opposite magnetic charge."
 
Jibu ni simple. Mabinti wa sasa wanapenda kwanza kupoteza muda kutumia usichana wao na kuexplore options zao na miili yao hadi pale muda ukiwatupa mkono ndipo huanza tafuta commitment na mtu serious jambo ambalo ni sawa na kukumbuka maji baada ya kukata gogo au kukumbuka kujifunika asubuhi jua limetoka.

Umri ukienda sasa ndio wanatafuta watu serious. Mimi nilitazama mabinti ambao walinizidi umri, rika langu na ambao niliwazidi kidogo ambao walikuwa wanaleta za kuleta miaka hiyo sasa hivi wapo juu ya mawe.

Uzuri ukiisha mwanamke hana tena ujanja, awe na pesa asiwe nazo ujanja unakatika anakuwa kama ndoo iliyotoboka hana maana tena mbele ya macho ya wanaume wenye mipango serious ya maisha.

Mtoto wa kike nafasi ya kutafuta mwanaume serious ipo ndani ya umri wa 16 hadi 30.ikishapita huu umri utakuja nambia hakuna mtu serious utakutana nae.

Ukifanikiwa then possibility ya kufanikiwa ni katika wanaume 1000 basi ni 5 utaweza fanikiwa na ujiandae kugombana na wadogo zako wa umri wa miaka 25, 24 ,23 au 22 kushuka chini.

So endeleeni kuenjoy life ya usichana while it last. Finali ni 30 mkianza kuokoka , mara kujiremba, mara kukata utumbo, mara kuhonga wanaume ili wabaki kwenu.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona binadamu/walimwengu/wanajamii wanakuonya kuhusu jambo fulani kwa kurudia rudia basi jitahidi sana kuwaelewa na kuchukua hatua kabla muda haujaenda. Kwa maana ni heri mwanadamu anapokufunza ukikosea anaweza kukupa second chance. Ila usiombe maisha yaanze kukufundisha yenyewe, maana maisha hayana huruma wala simile.

Kitakachokuokoa ni kifo tu ila maisha hayana msamaha wala uvumilivu wa kukupa nafasi nyingine ukiharibu kwa makusudi.

Ukibisha waulize waliopata magonjwa ya zinaa yasiyopona, walioharibiwa na dawa za kulevya, wanawake waliotoa ujauzito nyingi hadi kuharibu kizazi, mwizi anaesubiria kuwashiwa kibiriti achomwe moto, etc. Hawa wote walikaza fuvu wakikatazwa ila maisha yalipowatia kabali suluhu hiwa haiji hata ifanyaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika miaka yangu michache nimedate na wanawake wazuri sana kimuonekano na wa kawaida. The most common thing nimegundua ni wanawake wanapenda a confident man anaejua anachotaka na yuko tayari kukichukua.
Comment murua kabisa, uzi ufungwe.
 
Mwanamke anapenda purukushani,

BInafs huwa nnatabia ya kununua ugomvi kusudi ili mradi Hali ya hewa ichafuke mwanamke wangu uwe na mawazo.

Ukiwa mzee wa ndiyo mzee,
Mahusiano huwezi kuyafaidi[emoji4]

HAKUNA RAHA KAMA MWANAMKE akiwa ANALIA KWA AJILI YAKO KWA KUMKWAZA MAKSUDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika miaka yangu michache nimedate na wanawake wazuri sana kimuonekano na wa kawaida. The most common thing nimegundua ni wanawake wanapenda a confident man anaejua anachotaka na yuko tayari kukichukua.

Nimeona niongeze jambo kuhusu wanawake wazuri kabisa (warembo hotcake)

Wanawake wa kawaida hawana shida sana ukishamaster mambo ambayo nimeongelea katika comment ya hapo juu ila warembo wana shughuli zaidi kwa sababu zifuatazo

Kwanza wana option nyingi. Kila siku wanatongozwa na wanatongozwa na wanaume ambao kusema ukweli wanaweza wakawa wanakuzidi pesa na kimuonekano. Hii ina maana una competition kubwa na hivyo uko replacable kirahisi ukizingua tu.

Pili wengi ni assholes. Wanakataa wanaume kila siku na tayari washajijenga kujiweka wao kwanza. Akinotice tu wewe sio ideal mate kwake anakupiga chini anajua atapata tu mwingine au ataendelea kuishi maisha yake akaenjoy.

Na hii ndio maana wasichana warembo wanaishia kupenda asshole men pia. Hence kupenda wahuni. Ufanyaje ili umpate mrembo bila ya kuwa muhuni?

1. Ushushe uzuri wake. Keshazoea kuitwa mzuri na kila mtu. Ni vizuri kutafuta sifa nyingine na tena uitengenezee utani flani hivi. Mfano ukinotice anapenda kupika vitu vingi mtandike jina la naughty chef. Epuka kabisa kuaddress uzuri wake na weka juhudi usijisahau. Haha mimi siingiagi insta kabisa na whatsapp status siangalii pia ili uzuri usinikamate akilini.

2. Usiseme unampenda kamwe mpaka mahusiano yenu yakomae. Flirt nae, mpe maneno matamu ila kamwe usiseme neno nakupenda mpaka hapo baadae labda miezi. Ukisema nakupenda tu utahamishwa katika kundi la nice guys na ataanza kukutesa.

3. Mtingishe once in a while. Hili ni suala pana ila mfano rahisi ni kuepuka kuongea nae kila siku especially mwanzoni mwa kujuana. Labda mmeongea siku ya kwanza na ya pili vizuri, siku ya tatu potea. Kama umefanya vizuri siku ya kwanza na ya pili, siku ya tatu atakufikiria. Endelea kufanya vitu kama hivi mpaka katika siku ambayo unampotezea akutafute. Msichana mzuri akikutafuta kwanza ujue ushamwin ni wako wa kumuongoza mpaka ufike lengo lako.

4. Tafuta njia ya kuendeleza mambo haraka. Inategemea mlivyojuana ila ni vema upandishe mahusiano yenu kutoka kuchat, ifuate kuongea na simu, kuonana haraka haraka. Of course inategemea na uwezo wako wa kumpanga mtu ila ikifika hatua unaweza kuonana na msichana mzuri, kuchat, kuongea na simu na kuonana nae katika date ndani ya wiki 1 ni vizuri. Ila ukiwa mtabe unaweza kufanya ndani ya masaa 24 pia hehe.

5. Jiamini. Tambua kuwa msichana wako anatongozwa kila siku. Yeye kukubali au kukataa sio ishu kwako. Ishu ni awe na wewe. Ukianza tu kuwa insecure unaanza kudharaulika. Na akifanya kitu cha kuzingua mpige ukweli mgombeze. They find it sexy maana wanaume wengine ni pleasers wanawaabudu. Ishi maisha yako, kuwa bize na wanawake wengine. Kama ni mtu wa mtandao post picha zikiwa na wanawake wengine au maeneo yenye wanawake (of course sio kipenzipenzi ila tu wawepo). Nasikitika sana ila ndio wanawake wazuri wanachotaka ndani kabisa ya mioyo yao ni kuwa na a desired person. Usimind michezomichezo yao wanaofanyaga ya kutopokea simu au kujifanya dont care. They do care na ukijiamini watakuwa na wewe. Hehe which reminds me kuna mdada mzuri sana amenibamba nimecheat na picha anazo nikaachana nae na wiki hii amenipigia simu 'kunijulia hali'. Msichana mzuri tu ambae watu wanagongana kumpata.

Kuna mengine hapa ila nadhani ukiweza haya hayo mengine utayagundua as you go.
 
Mbona mnahangaika.....

Mbona mnasumbuka....

Lengo ni nini?.......


Mnasoma hadi vitabu, mnapoteza mda ili tu mgusanishe vikojoleo venu vichafu venye STI, alafu ndo iweje??
 
Haha siku nikitulia nitaweka hapa uzi kabisa..kuna meng ukiyajua basi hawakusumbui.. mfano kuna siri kubwa tu hata kweny umri wa wanawake..ukishajua timeframe yao ilivyo basi kwisha habari yao[emoji2]
Lete nondo mkuu
 
Ungetuambia kwanza bad boys wakoje

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu "We don't care at all".

Wanawapendea nini: Love doesn't ask why, awe shombe shombe au Cheusi Mangala sie tunapiga Machine, Aaf unapita hivi.

We don't praise color or pussy we just do at best what supposed to be done at present and forget. That's all.

Welcome to the CLUB.
 
Umemaliza kaka heshima kwako🙏🏻🙏🏻
 
Hakuna badboys mnyenyekevu wala anaetoa vizawadi.hizi ni sifa za Magud boys ( Average frustrated Champs)
Mwamba kakosea somewhere, anacharacterize beta behaviors kuwa alpha.
 
Amin. Aaaamin.

Kitabu chake hichi hapa, nilipewa bure JF na demigod nawapa bure wadau

Nimekisoma mara kadhaa, nimekipractice, nimetoka kuwa mtumwa wa wanawake mpaka kuwa mtawala wao.


View attachment the-rational-male-tomassi-rollo.pdf
 
Hao ni Wasichana si Wanawake, utambue kuna tofauti kubwa sana kati ya Wasichana na Wanawake.

Wanawake wakifikia hatua ya kusema sasa basi, ni basi kweli hata waje watu wote duniani akishachukia sababu ya uvumilivu kufika kikomo haina jinsi.
Wakati huo miamba tunamove on kwa mwingine, pisi kali maradufu!
 
Naendelea kusoma comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…