Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Status
Not open for further replies.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini watu wafupi hawapendi kutembea na watu warefu?! Ni sawa na mwanaume ambaye huna kitu halafu wala huvutii, kamwe huwezi kuwa na power ya kumfuata mwanamke aliyekamilika hata kama yeye ataonesha nia ya kukuhitaji, wewe utajistukia.

Sasa usiseme jamii, sema hivii, wanaume waliobarikiwa na Mungu, kuwatengeneza kwa mvuto wa maumbile au sura nzuri, suala la baadhi ya watu kuwaangalia kwa jicho la 3, la 4, la 5, la 6, la 7, la 8 hata la 9 huwa ni wivu tu, wala sio kitu kingine.

Kuna watu Mungu kawatengeneza vizuri, kila wakipita, wakienda, wakirudi bado huchoki kuwaangalia unatamani ile nuru ya muonekano ungelikuwa nayo wewe ila ndio hivyo nafasi haikuwa yako, wewe endelea kukomaa na sura yako ngumu kama makande!
Ni kweli mkuu kwa nuru yao kila mmoja hupenda kuwa nao, na wengi wao ni Bar Maids na ni wahudumu katima mahotel mbalimbali.
Huko wanaowatumia sio Wanaume walio Warembo wa sura peke yake, hata wenye sura za kiume huwatumia pia.
Tatizo la hawa wanajiita handsomes wengi huwa na vijitabia vya kike, Hawa ndio wanasababisha huko nje tunasemwa watanzania hatuna nguvu za kiume kumbe sababu kuu ni hawa ma handsome.
Kutwa wanakula chips, na vyakula lainilaini vya hotelini ambavyo havina lishe ya kutosha kwa afya ya mwili.
Mwisho hawafanyi vizuri vitandani.
Lakini kwenye huu Uzi naona Muhusika alikuwa ana advertise Sura yake.
 
Oooush sorry nimepotea venue nimetokea kwene Kikao cha ma handsome..

Ndukiii
 
Sasa kwa misingi hii kama nlikuwa nina advertise SURA huu uzi acha niufute then niwaombe mods wauondoe hapa JUKWANI
Ni kweli mkuu kwa nuru yao kila mmoja hupenda kuwa nao, na wengi wao ni Bar Maids na ni wahudumu katima mahotel mbalimbali.
Huko wanaowatumia sio Wanaume walio Warembo wa sura peke yake, hata wenye sura za kiume huwatumia pia.
Tatizo la hawa wanajiita handsomes wengi huwa na vijitabia vya kike, Hawa ndio wanasababisha huko nje tunasemwa watanzania hatuna nguvu za kiume kumbe ni sababu kuu ni hawa ma handsome.
Kutwa wanakula chips, na vyakula lainilaini vya hotelini ambavyo havina lishe ya kutosha kwa afya ya mwili.
Lakini kwenye huu Uzi naona Muhusika alikuwa ana advitise Sura yake.
 
Ma handsome wengi kama wadada warembo ni wachache wenye uelewa wa maisha na akili hata ya kuishi na watu,hata wengine kazi hawajui wapo wapo tu wanahisi watu wanakula uzuri...we've got bills to pay!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom