- Thread starter
- #21
Hahahahaa japo umenichamba,lakini ujumbe mzuri kwa kweli ..Umewahi kujiuliza ni kwa nini watu wafupi hawapendi kutembea na watu warefu?! Ni sawa na mwanaume ambaye huna kitu halafu wala huvutii, kamwe huwezi kuwa na power ya kumfuata mwanamke aliyekamilika hata kama yeye ataonesha nia ya kukuhitaji, wewe utajistukia.
Sasa usiseme jamii, sema hivii, wanaume waliobarikiwa na Mungu, kuwatengeneza kwa mvuto wa maumbile au sura nzuri, suala la baadhi ya watu kuwaangalia kwa jicho la 3, la 4, la 5, la 6, la 7, la 8 hata la 9 huwa ni wivu tu, wala sio kitu kingine.
Kuna watu Mungu kawatengeneza vizuri, kila wakipita, wakienda, wakirudi bado huchoki kuwaangalia unatamani ile nuru ya muonekano ungelikuwa nayo wewe ila ndio hivyo nafasi haikuwa yako, wewe endelea kukomaa na sura yako ngumu kama makande!
Kuna watu huwa hawachokwi hakika,na nimeshuhudia hata hao hao wanawake,Kuna mwanamke ukishamuona kila siku utatamani kumuona.
Sent using Jamii Forums mobile app