Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,962
- 54,074
Hata sisi tunawaogopa wanawake warembo, mcheki mke wa anayemuamini baba mchungaji
Jamaa full kuslide hataki hata kuenjaculate nje au kutumia kondomu hatari sana, awaandalie mazingira bora ya kusoma shuleHemed PHD aana watoto sita na hajaoa kila mtotot ana mama yake
Waulize watu wa Dar, mimi wa mkoani simfahamu.
Nani kasema wanaogopwa?Habarini za mda,
Nilitaka kufahamu hivi ni kwa nini mtoto wa kiume/mwanaume akiwa handsome,
wanawake wengi wanawaogopa?
Na hata kama wakitaka kujenga relation na mademu linakuwa tatzo?
Utakuta baadh ya wanawake wanajikita sana kwenye suala la mazoea na sio mahusiano(relation)?
Tukijikita mbali,Jamii pia inawaangalia kwa jicho la tatu.why?
Karibuni wanazengwe kwa maoni.
huyu si demu wewe au?
HahahhaHiyo ndio bahati yetu sisi wanaume wenye sura za limao angalau tuambulie ambulie kidogo...
Sura ya ugwadu ndio uanaume bby. Haya niambie pasaka hii ulifungiwa wapi
Wanaume mahandsome wana matatizo ya nguvu za kiume kwa iyo wanawake wanaogopa wakiwa kwenye 6*6 hawajui kitu wanakuwa dhaifu
Kwan huyo ni mwanaume?View attachment 1092787
Unasemea hamdsome kama huyu!
Hakikadah mkuu umedeliver facts sisi wenye sura mbovu huwa tunatamani na tusura angalau tuzuri tukimuona mwenye sura nzuri tunachukia kwel kwel
Wengine hatujui uglsome ni nini?Wee ni uglysome au handsome tuanzie hapo
Waulize watu wa Dar, mimi wa mkoani simfahamu.
Sasa mwenye sura ya dada mtu akiwa nae si ataona yuko na dada yake
Hapa ni levels tu zinahusika. Namaanisha hata wewe mwanaume usiye na muonekano mzuri wala pesa watoto wazur wenye akili zao na pesa zao huwez gusa maana sio level zako. Kwa hiyo iko hivi, mwanamke mwenyewe anajitathimini je huyu mkaka naendana nae kweli au atanipitia tu aniache? Ye mwenyewe anaona kabisa hata mmudu, ingawa wengine wanajua kabisa wanapitiwa tu ila bado wanakuja na wako tayar kupata hiyo bahati hata ya kupitiwa tu.
Cha msingi hapa tafuteni ela tu uhendisamu utafuata.
Hata sisi tunawaogopa wanawake warembo, mcheki mke wa anayemuamini baba mchungaji
HakikaJamaa full kuslide hataki hata kuenjaculate nje au kutumia kondomu hatari sana, awaandalie mazingira bora ya kusoma shule