Kwanini wanawake wanaogopa wanaume handsome?

Status
Not open for further replies.

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
Habarini za mda,
Nilitaka kufahamu hivi ni kwa nini mtoto wa kiume/mwanaume akiwa handsome,

wanawake wengi wanawaogopa?

Na hata kama wakitaka kujenga relation na mademu linakuwa tatzo?
Utakuta baadh ya wanawake wanajikita sana kwenye suala la mazoea na sio mahusiano(relation)???

Tukijikita mbali,Jamii pia inawaangalia kwa jicho la tatu.why?????

Karibuni wanazengwe kwa maoni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last edited:
Habarini za mda,
Nilitaka kufahamu hivi ni kwa nini mtoto wa kiume/mwanaume akiwa handsome,A.K.A sura ya dada..

wanawake wengi wanawaogopa?

Na hata kama wakitaka kujenga relation na mademu linakuwa tatzo?
Utakuta baadh ya wanawake wanajikita sana kwenye suala la mazoea na sio mahusiano(relation)???

Tukijikita mbali,Jamii pia inawaangalia kwa jicho la tatu.why?????

Karibuni wanazengwe kwa maoni...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry naomba uambatanishe na picha tafadhali

Jr
 
Umewahi kujiuliza ni kwa nini watu wafupi hawapendi kutembea na watu warefu?! Ni sawa na mwanaume ambaye huna kitu halafu wala huvutii, kamwe huwezi kuwa na power ya kumfuata mwanamke aliyekamilika hata kama yeye ataonesha nia ya kukuhitaji, wewe utajistukia.

Sasa usiseme jamii, sema hivii, wanaume waliobarikiwa na Mungu, kuwatengeneza kwa mvuto wa maumbile au sura nzuri, suala la baadhi ya watu kuwaangalia kwa jicho la 3, la 4, la 5, la 6, la 7, la 8 hata la 9 huwa ni wivu tu, wala sio kitu kingine.

Kuna watu Mungu kawatengeneza vizuri, kila wakipita, wakienda, wakirudi bado huchoki kuwaangalia unatamani ile nuru ya muonekano ungelikuwa nayo wewe ila ndio hivyo nafasi haikuwa yako, wewe endelea kukomaa na sura yako ngumu kama makande!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom