Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Kwasababu jamii ndiyo imeshatujenga hivyo, mwanamke ukifikisha miaka 30+ hujaolewa, wazazi wanakuwa na wasiwasi, marafiki wote uliosoma nao wameolewa na wana watoto unajiona tofauti sana. Wakati Oprah ameolewa mwaka huu akiwa na 60+.
so we Oprah...
 
Ni utamaduni wa kiafrika, mwanamke atleast kabla hajafikisha 30 lazma awe ameolewa, sasa akiona umri unaenda halafu haoni muelekeo lazma awe desperate, yoyote atayejitokeza yeye sawa tu mengine tutajua mbele ya safari
 
"lilimdanganya litamuoa"
"kweli akaolewa"
Hata hivyo ni kawaida kwa mwanamke kutaka kuolewa mapema, kuna umri ukifika inakua ngumu sana. Kwa kifupi huyo alikua hakuamini kama ulikua na mpango wa kuja kumuoa.
 
Social pressure, apa tu zikianzaga thread za wadada walioko 30 ni masimango hatar..sasa kwann mtu asiwe desperate
Labda mpk pale jamii itakapobadilisha mtazamo juu ya wadada walioko kwenye 30

Ukiachia hilo wadada wanakua haraka kuliko wanaume sahv msichana mwenye miaka 20 ana mwili kuliko ata wa miaka 30
 
na

wewe itakua ndio michezo yako kwa hiyo km kabla ya kuolewa uligegedwa na wanaume 10 basi utakua unaviporo kumi unavyovila.............Wanaake wa siku hizi majanga
Tafuta wanawake wa zamani
 
Mwisho wa pupa yeyote huwaga ni mbaya ......huyo dada alifanya haraka na pupa ya kuolewa sasa ndio vinamtokea puani......watu wanaoana kwa mihemuko siku hizi.......wakishaoana tu vituko vinaanza ndio wanaanza kujiachia na kuishi kiuhalisia hapo ndipo kuna shida sasa.....
 
Kwasababu jamii ndiyo imeshatujenga hivyo, mwanamke ukifikisha miaka 30+ hujaolewa, wazazi wanakuwa na wasiwasi, marafiki wote uliosoma nao wameolewa na wana watoto unajiona tofauti sana. Wakati Oprah ameolewa mwaka huu akiwa na 60+.
Kweli kabisa mpenzi umeongea hoja ya maana .......usikimbilie ndoa.....lakini pia usiwe na maringo ya kuchagua nani atakuoa ndoa inabidi iwe natural thing kusiwe na chembe chembe za tamaa ya aina yeyote........yaani acha mambo yahappen kwa uhalisia.......inatokea upo single .......hauna mtu serious.......amekuja brother anakuomba kistaarabu kabisa kuwa anaomba akutoe dinner mahala pa heshimma sio club wala mziki wa bendi ila restaurant ya heshima............keti naye msikilize ajenda zake.......mwambie akupe siku mbili au tatu utafakari........zungumza na wazazi sio mashosti zako viduku maana mwisho wa siku hawa mashost watakuuliza tu kuwa jamaa anahela..........muulize mipango yake......anaweza kumudu usimamizi wa uhusiano sio stress kidogo anakimbia sio umeshindwa kupika vizuri anakuona sio wakati ni wajibu wake kukuelekeza......unamchunguza kama alishawahi kuwa na mahusiano nyuma na je kwanini yupo single.......unamuhoji kama ana matatizo ya kiafya........kama ana mtoto yaani maswali ambayo mwanaume huyo atajua upo serious na haupo tayari kuchezewa.
 
Word Mkuu, asante sana na Ubarikiwe, haya ya mtoto tena ni bonus, akiwa nae hata wewe ukikosa haitamchanganya na pia huwezi kujua labda Mungu alikuweka ili kuwalea hao watoto.
 
Yani KE ni shida,mwingine nimedumu naye 6 yr kazingua mwezi wa 9 et me masikini nikasema asante kila lakheri kwa roho safi tu.Me nikadelete yote mpaka kumfungia access zote za mawasiliano.
Hee!! juzi nashangaa no ngeni,nikagundua sauti nikawa kauzu majibu ya mkato Na jeuri namjibu,akaona pagumu akakata simu.
Wanawake aisee
 
Huo ni mtego, na ukute jamaa ana monitor mawasiliano yenu yote, nakushauri acha hiyo biashara ya wake za watu, ni KIFO KINAKUTAFUTA
 
hapo ndipo mnapobugi.....kisa a famous woman kafanya hivyo basi kumeficha mabaya yake kuwa alikuwa mzinzi. wewe ukweli ni kwamba mwanamke na mwanaume wanatakiwa waoe mapema laa sivyo tunakuwa ma malaya kama mnavyojionea kwenye jamii ya sasa. wangapi hapa wanaweza kuishi mpaka 30 wakiwa hawajazini?
Ni kweli usemacho, absolutely true!! Kuna uhuru wa kufanya ngono kwa kizazi chetu, umri wowote mtu anaweza kuamua kulala na wanaume/wanawake kadhaa na hakuna wa kumhoji, at the end we've created kizazi cha malaya na wahuni wanaotembea ovyo tu.

Nani ameweza kufikisha just 28+ bila kusigina chiu yake kw mwingine? Kama hujaoa/hujaolewa it's obvious kuwa utakuwa malaya/mhuni.
 
Pia anawatoto kutoka previous marriage kwahiyo Oprah kukosa mtoto haimsumbui, yaah Oprah kutafuta mwanaume mwingie hana muda at least anamtrust Graham kwa ushauri pia na company.

Inakera, mzee mzima unakwenda clinic nursing bag, una warm up maziwa.
Wenzako wanajisikia fahari, wewe unaona inakera. I don't really mind if my wife decides to go back to school. Kwanza elimu haina mwisho, besides she has her own goals to archive, who am I to be on her way!!!
 
Back
Top Bottom