Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

Hio kitu ipo tu sana kwa wanawake ..kuna ndugu yangu mmoja alioa wake wawili hasa baada ya kuona mke mkubwa anamzingua
So akawa anakaa kwa mke mdg ...siku moja kamtembele mke mkubwa akaandaliwa msosi fresh tu.....ile kushika sahaniiii Mara vuuup sahani kule....katikati ya ugali lilichomoka konokono hai ...apo imagine msosi wa moto
Mwanaume alikuwa amejipanga
 
Ni vile hatujuago tu ila tunazuia Baraka nyingi sana kwa hawa wanaume.imagine,Mimi namloga,na hivi michepuko kwao ni jambo la kawaida ..mchepuko nao unamloga,mwingine nae anamloga,,Yani ni kisanga tupu

Baraka na ridhiki hupotelea hapo...
Nilivyoona tu avatar huku tayari...nadhan umeelewa
 
Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?
sijui yaliyotokea katika ukoo wenu, ila wengine tumesomeshwa na kulelewa na msaada wa hizo koo
 
Ukizaa mtoto ni wajibu wako kuhakikisha unamfanyia kila kitu ulichokisema. Lakini si wajibu wake kukutunza ila ni fadhila za mtoto(sunna). Acha akili za kimaskini ati usaidie ukoo (sharing of poverty)
Kumtunza mzazi wako...Ni maarimsho ya Mwenyezi Mungu...enyi mlio amini..na wazazi wawili watendeeni WEMA...
 
Kusaidia wasio jiweza Ni Jambo zuri Sana...Kama una uwezo wasaidie..

Lakini haimaanishi IWE kwa expense ya familia..haimaanishi kwa mtu kupenda familia Yake karogwa...Ina maana kuchukia familia na kupenda Watu wengine...ndo Jambo lilo zuri?..

"Mbora wa wanaume Ni yule Alie mbora kwa mke wake.."

Lakini utambue mtu akiooa majukumu huongezeka na anaweza akatoa KIDOGO kuliko ZAMANI...HAPO ndo anaanza kuchukiwa mke kuwa Anaroga NDUGU wasipate....SI MARA ZOTE wanawake huroga..Bali Ni DHANA mbaya ya ndungu ambao walikua wakisaidiwa kabla ya Huyu mtu kuwa na familia.
 
Asante sana! Unatoa kama kuna albaki. Ni jukumu lako kumtunza mke wako na watoto. Ni jambo la kheri kuwasaidia wazazi wako ila ni msaada kusaidia ndugu na jamaa kama una cha ziada. Mtoa mada anasisitiza kutunza ukoo ambao hata Mo na mihela yote hawezi.

Mleta uzi Nadhani ni mwanafunzi hajui maisha.
 
Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali...

Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti?

Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni kuwageuza wanaume wao misukule ili wawasikilize kwa kila watakachosema.

Hivi kuna baadhi ya watu humu tayari walishafungwa ila hawawezi kujielewa. Wanaendeshwa kwa kutumia remote. Utakuta mtu anashindia mishati haieleweki lakini mke wake sasa. Hiyo ni dalili ya kufungwa.
Pole sanaaa mkuu
 
Kusaidia wasio jiweza Ni Jambo zuri Sana...Kama una uwezo wasaidie..

Lakini haimaanishi IWE kwa expense ya familia..haimaanishi kwa mtu kupenda familia Yake karogwa...Ina maana kuchukia familia na kupenda Watu wengine...ndo Jambo lilo zuri?..

"Mbora wa wanaume Ni yule Alie mbora kwa mke wake.."

Lakini utambue mtu akiooa majukumu huongezeka na anaweza akatoa KIDOGO kuliko ZAMANI...HAPO ndo anaanza kuchukiwa mke kuwa Anaroga NDUGU wasipate....SI MARA ZOTE wanawake huroga..Bali Ni DHANA mbaya ya ndungu ambao walikua wakisaidiwa kabla ya Huyu mtu kuwa na familia.
upo sahihi lakini kwa swala la wanawake kutumia uchawi lipo wazi kabisa. wanawake wanashinda kwa waganga, ili waendelee kuwashikilia wanaume wenye pochi. Wanawake wengi ni wa binafsi sanaa
 
Tengeneza jiko lake anakopikia. Chupi yake moja itakufaa.
Nyoka mwekundu.
Majani ya ziwani. Yachome fukia chini ya tendegu la kitanda

Kila akifanya anadata yeye
 
upo sahihi lakini kwa swala la wanawake kutumia uchawi lipo wazi kabisa. wanawake wanashinda kwa waganga, ili waendelee kuwashikilia wanaume wenye pochi. Wanawake wengi ni wa binafsi sanaa
Siwezi bisha lisemwalo..lipo...
Sasa Wewe utakaa bila.mwanamke kwa sababu hiyo..au utafanya Nini ili Mambo ya kishirikina yasikufike?
 
Tuna play part katika active cash circulation. Inatokoa kwa mume inapitia kwa mke inakwenda kwa mganga. Mganga ananunua sukari na sabauni, muuza duka anapata pesa ya kununua misumari ya kujengea.
usifanye huo mchezo tena ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom