LONE_WOLF
Senior Member
- Nov 21, 2015
- 175
- 259
Flatest yuleNaibu spika.
Flatest yuleNaibu spika.
wachaga ndo wana miguu midogo?ngoja nitanye uchunguziWanawake wa mkoani Mbeya wana shepu nzuri tatizo lao ni moja tu usoni ni wachachu sana kama watu fulani wa kanda ya kaskazini walivyojaaliwa miwa/spoku.
Kwani unao mpango?
Kwani uzi unasemaje jamani![]()
Hivi vipimo umekuwa mnajimu?Sasa hipusi langu lenyewe 28 hili ndo nikugaie wewe wa hipusi 46?



Kigoma imebarikiwa na niwatamujeFika Kigoma Hasa Kasulu & Buhingwe Eneo Linaitwa Manyovu Halafu Njoo Hapa Tujadili Mada Yako
Maparachichi na ndizi.Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.
Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.
Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia.
Sasa nilijaribu kufikiria kwanini wanawake hawa wanamashepu kama hayo.
Angalia mahipsi hayo mwanangu, matoto yamenona ile mbaya.
Mambo ya miwowowo mwanangu.
Mkuu sura kivipi, masogange alikua na sura ya namna ganiSura tu ndio shda,
Sura tu ndio shda,