KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,768
- 86,455
Uje ujaribu uone jinsi navyokutoa meno..😅kwaiyo mkuu wasipigwe kdg jamani.
Apigwe nani.. hata kidogo hakuna..
Uje ujaribu uone jinsi navyokutoa meno..😅kwaiyo mkuu wasipigwe kdg jamani.
😅😅😅 mbona unajisemea unampango gani.Uje ujaribu uone jinsi navyokutoa meno..😅
Apigwe nani.. hata kidogo hakuna..
😅😅😅 mbavu zanguUje ujaribu uone jinsi navyokutoa meno..😅
Apigwe nani.. hata kidogo hakuna..
Siwezi wasemelea wengine labda wanapenda kula kipondo..😜😅😅😅 mbona unajisemea unampango gani.
😅😅😅😅we hupendi kabisaa au.Siwezi wasemelea wengine labda wanapenda kula kipondo..😜
Mi napenda kupiga mtu akinichokoza ila naangalia na mtu mwenyewe Kama ananishinda mabavu nakimbia..😅😅😅😅😅we hupendi kabisaa au.
ukorofi tuuMi napenda kupiga mtu akinichokoza ila naangalia na mtu mwenyewe Kama ananishinda mabavu nakimbia..😅
Ila kama nammudu mbona itakuwa habari hadi tbc watakuja..😜
Em nikuchokoze nioneMi napenda kupiga mtu akinichokoza ila naangalia na mtu mwenyewe Kama ananishinda mabavu nakimbia..😅
Ila kama nammudu mbona itakuwa habari hadi tbc watakuja..😜
Kwa yale mangwara yako nakuwezea wapi..ukorofi tuu
Mi unanionaje utawezana au .😂
😂😂😂 lolKwa yale mangwara yako nakuwezea wapi..
Mama twende chumbani..😅
Huyo sister atakua hana chura,
Mkuu utakua huna churaWengi wao Wana sura za kiuanaume aisee
Hahaaa ndio Sina Ila hawana sura nzuri za kuvutia sura nzito bana, mwanamke reception shape hata kwa mchina zipoMkuu utakua huna chura
Huyo sister atakua hana chura,

hawana sura nzuri bana I'm sorry to say this.Bora useme wewe kiazi, nikisema mie mhogo nitaonekana na miziziShepu wanazo ila sura zao kama matumla
Naibu spika.Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.
Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.
Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia.
Sasa nilijaribu kufikiria kwanini wanawake hawa wanamashepu kama hayo.
Angalia mahipsi hayo mwanangu, matoto yamenona ile mbaya.
Mambo ya miwowowo mwanangu.