Kwanini Wanawake wa Mbeya wana mashepu?

Bila kuibiwa ziara ya huko ingenihusu mwaka huu huu
 
Andaa madodoso wape vijana 10 kila kina mpe dodoso 20 kwa kila dodoso moja walipe 5000/ hii itakuwezesha kukamilisha utafiti wako kwa urahisi zaidii kila la kheri maneja makampuni:
 
Ndizi,nyama na wali sana
 
Ila wengi wana misura iyo.... duh
 
Ushatembea mikoa mingapi tanzania?

Huenda kuna maeneo hujafika[emoji23]
 
Afadhali leo dada zangu kina Manka wamepumzishwa!
 
Subiri wasiokuwa na hizo shepu wakujibu,maana kama nawaona walivyokunja sura kwa hasira na misonyo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…