Kwanini Wanawake wa Mbeya wana mashepu?

Kwanini Wanawake wa Mbeya wana mashepu?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
8,988
Reaction score
11,862
Wakuu kati ya maswali yanayogonga kichwa changu ni hili la kuhusiana na Wanawake Mbeya.

Nilienda Mbeya wakati wa rikizo, na nilipata kutembelea wilaya mbalimbali za Mbeya.

Nilichoshangaa kuona ni hiki, kila mwanamke niliye kua namwona alikua amebeba bonge la shepu nyuma lililo jazia.

Sasa nilijaribu kufikiria kwanini wanawake hawa wanamashepu kama hayo.

Angalia mahipsi hayo mwanangu, matoto yamenona ile mbaya.

Mambo ya miwowowo mwanangu.

Sasa nini siri ya hawa watu jamani kuwa na chura za namna kama hii.


Sent from Huawei P40 Pro
 
Yaani umeona wengi halafu una picha ya mmoja tu! Zaidi, picha ya ndani ya nyumba. Huyo hapo jikoni mbona ni kama amelibetua kwenye kitchen bar? Akitoka hapo litakuwa na umbile hilo hilo?

Nimefika Mbeya, hakuna kitu.
 
Hata kidogo sijawahi!.. ila kuna watu niliwahi kuwasikia wakisema wanawake wa mbeya wanaruka mateke hao Kama vandame..😂
siyo mbaya kidogo kwa afya .😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom