mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Mkitaka kutumia majina yenu fanyeni yafuatayo:
1. Kataeni kuolewa kwa mahali.(Binti yangu ataolewa bure kabisa)
2. Acheni kuwa tegemezi kwa kila kitu.
3. Hata ukiolewa na watu mashuhuri/matajiri kataeni majina yao.. Mfano ukiolewa na waziri, mbunge, utataka kutumia majina yake ila ukiolewa na mwalimu ndo utajinadi situmii majina yake.
4. Msing'ang'anie sana kuolewa, msioneshe sana nyie ndo mnahitaji sana kuolewa.
5. Mjiamini kama mnaweza wenyewe bila wanaume.
6. Acheni unafiki ukiolewa na bwana mafedha akisema tumia majina yako utalalamilka dunia nzima upendwi, ukiolewa na mwalimu, mtu wa kawaida utaleta jeuri.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums