Kwanini wanawake hutumia majina ya waume zao wanapoolewa?

Coz you divorced me....! na mahari nilishapeleka ili uitwe kwa jina langu..ukanikataa wangu..lol

Hahahaa hiyo jeuri niliitoa wapi? labda nilikuwa nimelewa lol
 
I can't denied for what you are saying . But what I know is between 10 women you can never miss 1 or 2 who will share with you the same vision, love, passion, companionship and etc. Thanks..
One out of ten i.e 0.1% is negligible my dearest..
..most relationships nowadays lie on the line, thin line!!
..nothing like sharing vision, passion, companionship or even mutual understanding..
..we just live for today my dear!!!
 
Mwanamke anaachana na jina la Baba yake na kuchukua jina la Mme wake kwa sababu majukumu ya Baba yake (kula, kulala, mavazi, kusomeshwa n.k.) sasa yanahamia na yatafanywa na Mume wake. Hiyo ndio sababu kubwa ya kubadili jina. Ila pia baada ya muda hawa wanaume wanaolelewa nao itabidi wabadili majina yao kwenda kwa majina ya wale wanawake wanaowalea (Masugar Mammy) - kwa sababu hiyo hiyo niliyoileza hapo mwanzo.
 
Anabadilisha na kutumia mbele ya masikio na macho ya watu tu. Lakini kwenye chetu cha kuzaliwa au vyeti vyote kabla ya ndoa vinabaki vile vile.
 
Mwanamke anaachana na jina la Baba yake na kuchukua jina la Mme wake kwa sababu majukumu ya Baba yake (kula, kulala, mavazi, kusomeshwa n.k.) sasa yanahamia na yatafanywa na Mume wake. Hiyo ndio sababu kubwa ya kubadili jina. Ila pia baada ya muda hawa wanaume wanaolelewa nao itabidi wabadili majina yao kwenda kwa majina ya wale wanawake wanaowalea (Masugar Mammy) - kwa sababu hiyo hiyo niliyoileza hapo mwanzo.

Ahahaha, na kweli wabadilishe na wao
 
Mi hata niolewe na nani si change jina hayo ya Ku change yalikua ya middle ages.
 
Binafsi Mimi sioni problem. Ni maamuzi tuu ya wawili. Bibi yangu mzaa Baba ametumia Jina mumewe kuwa la Mwisho na LA babu yake mzaa baba kuwa middle name. Na mpaka sasa analo la mumewe hadi sasa. I think wengi wanaamua kufanya hivi for the Love , kumuheshimu mumewe ili nae ajihisi anatambulika na kumiliki Mali ile ( mke) haswa akiwa mke mwema. Mfano Mimi mwenzangu ameshaongea na Mimi tukifunga ndoa ameomba nitumie last name yake and I am okay with it. Ila naona usumbufu tuu kuja Ku change vyeti and documents.. na hii kwa sababu ya uvivu tuu nothing else.. but otherwise its cool . Wanaume wengi huwa hawasemi tuu ila wanajihisi proud Kuwa anamiliki kitu Fulani ndani himaya yao including names.. na some of them wanafurahi wakiona wanamiliki mke yule . Kwa maana nafsi zao zinawaambia it is the way that its suppose to be .. Jamani hivi ni vitu vidogo sana Ku solve .but utakuta vinavunja Ndoa hivi hivi. Ndio maana ni vyema to talk kuhusu hili kabla ya kuoana mfikiane. Thanks..

Duuuh yaan kwa comment zako tu huwa najifunza mengi naomba niseme asnte.
 
Haya majina wanabadili pale wanapoandika Mrs xxx kwenye vikao vya harusi na misiba lakini officially mi ninaowajua huendelea kutumia majina yale waliyokuwa nayo.

Ni kama wale wanaobadili dini wakiwa wakubwa na kisha kubadili majina kutoka lile la dini moja kwenda nyingine, hawa wengi huendelea kutumia majina waliyokua nayo.
 
Binafsi Mimi sioni problem. Ni maamuzi tuu ya wawili. Bibi yangu mzaa Baba ametumia Jina mumewe kuwa la Mwisho na LA babu yake mzaa baba kuwa middle name. Na mpaka sasa analo la mumewe hadi sasa. I think wengi wanaamua kufanya hivi for the Love , kumuheshimu mumewe ili nae ajihisi anatambulika na kumiliki Mali ile ( mke) haswa akiwa mke mwema. Mfano Mimi mwenzangu ameshaongea na Mimi tukifunga ndoa ameomba nitumie last name yake and I am okay with it. Ila naona usumbufu tuu kuja Ku change vyeti and documents.. na hii kwa sababu ya uvivu tuu nothing else.. but otherwise its cool . Wanaume wengi huwa hawasemi tuu ila wanajihisi proud Kuwa anamiliki kitu Fulani ndani himaya yao including names.. na some of them wanafurahi wakiona wanamiliki mke yule . Kwa maana nafsi zao zinawaambia it is the way that its suppose to be .. Jamani hivi ni vitu vidogo sana Ku solve .but utakuta vinavunja Ndoa hivi hivi. Ndio maana ni vyema to talk kuhusu hili kabla ya kuoana mfikiane. Thanks..

Duh Kweli haya mapenzi ya dotcom, kila kitu ni consultation kumbe, i thought it's automatic ukiwaolewa!!!??
 
Binafsi Mimi sioni problem. Ni maamuzi tuu ya wawili. Bibi yangu mzaa Baba ametumia Jina mumewe kuwa la Mwisho na LA babu yake mzaa baba kuwa middle name. Na mpaka sasa analo la mumewe hadi sasa. I think wengi wanaamua kufanya hivi for the Love , kumuheshimu mumewe ili nae ajihisi anatambulika na kumiliki Mali ile ( mke) haswa akiwa mke mwema. Mfano Mimi mwenzangu ameshaongea na Mimi tukifunga ndoa ameomba nitumie last name yake and I am okay with it. Ila naona usumbufu tuu kuja Ku change vyeti and documents.. na hii kwa sababu ya uvivu tuu nothing else.. but otherwise its cool . Wanaume wengi huwa hawasemi tuu ila wanajihisi proud Kuwa anamiliki kitu Fulani ndani himaya yao including names.. na some of them wanafurahi wakiona wanamiliki mke yule . Kwa maana nafsi zao zinawaambia it is the way that its suppose to be .. Jamani hivi ni vitu vidogo sana Ku solve .but utakuta vinavunja Ndoa hivi hivi. Ndio maana ni vyema to talk kuhusu hili kabla ya kuoana mfikiane. Thanks..
Wewe unatarajia kumilikiwa na mumeo?? karne hii?? Mimi similiki mtu na nafikiri si sahihi mwanamke kubadili jina, haina mantiki yeyote.
 
Naunga mkono hoja asilimia mia moja. Kisa cha kubadili jina ni eti kumu empress mwanaume kuonyesha umiliki. Sifanyi huo ujinga Mimi.
 
Hillary clinton. Michelle obama,Annah Mkapa,Tunu pinda, nk walikua wanaitwa zamani ila sasa hawaitwi sio? wanawake wa humu mko desperate sana.

Ongezea Victoria Beckham,Salma Kikwete,Rose Migiro
 
Mi hata niolewe na nani si change jina hayo ya Ku change yalikua ya middle ages.

Mmmh tema mate chini Diva

Yaani hata uolewe na mtu maarufu kiasi gani hutaki kuosha kitaaa? mfano hutaki jina lako lisome 'mama salima kikwete'
Aaaah you kidding my friend!!! siko moyoni mwako lakini sikubaliani na ulichosema, chezea sifa weee!! kuna asiyependa sifa dunia hii??!! especially women, aaaaah acha kabisa bana!!
 
Naunga mkono hoja asilimia mia moja. Kisa cha kubadili jina ni eti kumu empress mwanaume kuonyesha umiliki. Sifanyi huo ujinga Mimi.

Hiyo ni kama umeolewa na mume wa kawaida sana, lakini kama ni somebody, weeee mbona unabadilisha mwenyewe tu bila hata kuambiwa!!!
 
Okay
Mmmh tema mate chini Diva

Yaani hata uolewe na mtu maarufu kiasi gani hutaki kuosha kitaaa? mfano hutaki jina lako lisome 'mama salima kikwete'
Aaaah you kidding my friend!!! siko moyoni mwako lakini sikubaliani na ulichosema, chezea sifa weee!! kuna asiyependa sifa dunia hii??!! especially women, aaaaah acha kabisa bana!!

Hahaaaaa natema mate ila sibadilishi. Yote kamwe mfano itakua Diva beyonce..... LA kwangu na malizia labda ka ni mito. Sifa hazikwepeki aisee hasa kwa waheshimiwa first class.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kama umeolewa na mume wa kawaida sana, lakini kama ni somebody, weeee mbona unabadilisha mwenyewe tu bila hata kuambiwa!!!

Hapana hata yoyote nakwambia na change moja tu la katikati. Na hapo itategemea aisee kwa choko sibadilishi ng'o
 
Back
Top Bottom