Hapana hata yoyote nakwambia na change moja tu la katikati. Na hapo itategemea aisee kwa choko sibadilishi ng'o
Mi naitwa jina langu milele
Acha nipite hivi======>>>> naona hapanihusu hapa.... nilifungua uzi kwa bahati mbaya
Ni maandiko ya biblia takatifu, ktk kitabu cha nabii isaya ... basi watajikusanya wanawake hata saba wakimwambia mwanaume, basi utuoe tuondokane na aibu nasi TUITWE KWA JINA LAKO.
Ukioa tu kwenye cheti cha ndoa wanabadili mapema
Duh Kweli haya mapenzi ya dotcom, kila kitu ni consultation kumbe, i thought it's automatic ukiwaolewa!!!??
Wewe unatarajia kumilikiwa na mumeo?? karne hii?? Mimi similiki mtu na nafikiri si sahihi mwanamke kubadili jina, haina mantiki yeyote.
Haya unayasema humu jamii forum tu kutokana na msongo wa mawazo.
Subiri ukishaolewa uje utupatie mrejesho.
Hiyo ni kutokana na ubishi wako wewe. Huwezi ukaolewa then ukabakiwa na jina lako hilohilo. Labda kama uliolewa ukaachika.
... atakuwa na ma-stress tu huyo kazinguana na jamaa yake
Nikipata mume nitarudi kuchangia topic hii,hapa nipo Single
Hillary clinton. Michelle obama,Annah Mkapa,Tunu pinda, nk walikua wanaitwa zamani ila sasa hawaitwi sio? wanawake wa humu mko desperate sana.