[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenifurahisha! Nilidhani nimebaki mwenyewe ambae sitaki mizigo mwilini ie kuvaa hereni, pete, shanga, wigi n.kMimi nipo kwenye asilimia chache, sivai Pete, bangili wala sijatoga masikio nipo km nilivyozaliwa tokea tumboni kwa mama lbd bikira tu hiyo sinayo na mayai kadhaa ya uzazi yalishatolewa kwa safari za kila mwezi na kutengeneza binadamu
Sihusiki hapa
Nipo hapa pacha yaani naonekanaga Niko out of fashion, na bahili[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenifurahisha! Nilidhani nimebaki mwenyewe ambae sitaki mizigo mwilini ie kuvaa hereni, pete, shanga, wigi n.k
safi kapeace, sio ubahili, kuonekana naturally ndi vizuriNipo hapa pacha yaani naonekanaga Niko out of fashion, na bahili
Yap yap, hata unywele tu Sina dawa, ukweli niko comfortable saaana, hata nyusi sijui kuitinda yaani unaweza usiaminisafi kapeace, sio ubahili, kuonekana naturally ndi vizuri
Hahahahaah sio kwa ukweli huo jamn!!Mimi nipo kwenye asilimia chache, sivai Pete, bangili wala sijatoga masikio nipo km nilivyozaliwa tokea tumboni kwa mama lbd bikira tu hiyo sinayo na mayai kadhaa ya uzazi yalishatolewa kwa safari za kila mwezi na kutengeneza binadamu
Sihusiki hapa
Nimepitiliza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaah sio kwa ukweli huo jamn!!
Yap yap, hata unywele tu Sina dawa, ukweli niko comfortable saaana, hata nyusi sijui kuitinda yaani unaweza usiamini
Haswaaaa!! sema nzuri sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nimepitiliza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha! Kama uko comfortable na uamuzi wako hata wakishangaa yanihusu nini! You be just like `super natural lady`.Nipo hapa pacha yaani naonekanaga Niko out of fashion, na bahili
Hauna mambo mengi wala gharama Kabisa. Wife material au sioMimi nipo kwenye asilimia chache, sivai Pete, bangili wala sijatoga masikio nipo km nilivyozaliwa tokea tumboni kwa mama lbd bikira tu hiyo sinayo na mayai kadhaa ya uzazi yalishatolewa kwa safari za kila mwezi na kutengeneza binadamu
Sihusiki hapa
Ulinzi wao huo.
Heshima ya mwanamke ndoa
Ok goodHaswaaaa!! sema nzuri sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]