Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Testosterone na misuli,

Lakini hata Simba dume wako hivyo pia, wakitaka kuzaa na jike huwa wanaua hata watoto ili jike arudi kwenye heat haraka apandike😁.
Ninachokupendea wewe sio mbishi, kwenye ukweli huwa unakubali..!! 😹
 
Hormones, strong bodies/muscles, evolution, social and culture.
Are these causes of that weakness?
Wanaume ndio huwa wanajeshi,
Wanaume ndio huchimba madini na kazi nyingine za hatari,
Wanaume ndio walikuwa wanawinda,
Wanaume ndio wameitawala bahari kwa muda mrefu,
Nakubaliana na wewe ila hivyo vitu ulivyolist vinahusiana nini na kushindwa kudhibiti hisia na kuwa violent?
 
Wanawake nyie wenyewe ndiyo huwa mnajisema mnatumia hisia kuliko akili. Hapo ni pale mnapofanya makosa na hamtaki kuhukumiwa.

Ila hakuna mwanaume anayejisema kwamba katumia hisia kuliko akili hata kama amekosea. Kwahiyo, mwanaume anatumia akili.

Pia, neno "kutumia hisia au akili" inategemea na namna wengine wamepokea hilo jambo. Wewe unaweza kusema mwanaume katumia hisia, ila yeye mwanaume anajiona katumia akili.

Pia, linavyokuja swala la kumfananisha/kumfotautisha mwanamme na mwanamke, sababu huwa ni mbili (2) tu
1. Homoni (nature)​
2. Mazingira/malezi (induced)​
​
Kulingana na hizo sababu tajwa hapo juu, utofauti wowote ule, utasababisha matendo/mwenendo tofauti kwa jinsia husika.

Mwanaume atandelea kuwa na hasira/mkorofi/vurugu ikiwa atakuwa na homoni timilifu ya kiume. Akiwa na homoni nyingi za kike, lazima hivyo vitu vitakosekana (nature).

Mwanaume akilelewa kwenye mazingira ya kimayai/kudekezwa/kubembelezwa, hawezi kuwa na mwenendo wa kiume (unnatural).
 
Mwanaume ndiye mwanadamu aliyezungumziwa hata kwenye vitabu vitakatifu.

Na asilimia 90 ya mambo anayofanya mwanamke huyakopi kutoka Kwa mwanaume.

Hivyo kila kilichoanzishwa hapa Duniani kilianza na mwanaume
Sawa, ila hayo uliyosema yanajibu vipi maswali yangu?
 
Hivi nikuulize swali leo nikupe kitu cha kufikiri mara 3 hivi mwanamke anatembea na kengele chini au hana kengele?
Sasa swali gani hili? hatuna mbupu 😂
Kwahiyo hasira zenu na maamuzi mabovu ni kwasabahu ya vinyanya mshenzi vyenu 😂😂😂 au unataka kusemaje mkuu?
 
Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Mwanaume ni kiumbe ambaye anacontrol hasira sana, kinachotuponza ni kwamba hatusahau, tunajicontrol ila hatusahau sasa siku ikilipuka inalipuka na ya nyuma yote.

Mwanamke ni kiumbe dhaifu mno linapokuja suala la hisia ila kinachomsaidia ni usahaulifu. Wepesi sana wa kusahau ndo maana unaweza mnunulia range rover akafall In love na fundi unayemlipa wewe amtengenezee range lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…