Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Ninachokuhakikishia ni kwamba hakuna atakayeishambulia
 
Watoto wa kiume mara nyingi hatupati nafasi ya kulia kutoa machozi
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Testosterone na misuli,

Lakini hata Simba dume wako hivyo pia, wakitaka kuzaa na jike huwa wanaua hata watoto ili jike arudi kwenye heat haraka apandike๐Ÿ˜.
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Hatuishambulii sasa
 
Unaposema kila kitu unaelewa unachosema mkuu?
 
Hakuna aliyekamilika hata wewe unayejiita Strong kuna Switch ukibonyezwa unakuwa dhaifu...kataa ๐Ÿ˜
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!
Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!
Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!
Nimeona jana usiku habari UK ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง mtoto wa miaka 14 amemchoma kisu mara 10 binti ambaye amemtongoza akamkataa. Nikafikiria yani miaka 14 tayari mapenzi yanamuendesha huyu akikua si ataua ๐Ÿ˜ข.
Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
Watatoa mapovu, doffi inasubiri ๐Ÿ˜‚
 
So men are hormonal and their impulsivity and poor choices are caused by that?
Hormones, strong bodies/muscles, evolution, social and culture.

Wanaume ndio huwa wanajeshi,
Wanaume ndio huchimba madini na kazi nyingine za hatari,
Wanaume ndio walikuwa wanawinda,
Wanaume ndio wameitawala bahari kwa muda mrefu,
 
Mwanaume ndiye mwanadamu aliyezungumziwa hata kwenye vitabu vitakatifu.

Na asilimia 90 ya mambo anayofanya mwanamke huyakopi kutoka Kwa mwanaume.

Hivyo kila kilichoanzishwa hapa Duniani kilianza na mwanaume
 
Kuna switch ukibonyezwa utapaniki๐Ÿ™‚๐Ÿ˜•๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ