Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,381
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
Njoo kwangu zimejaa tele!
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...
hamna hawawezi kokoteunajidanganya hawa jamaa wakiwa nyumba ndogo ni mwendo wa bao 5-6 kwa wife 1-0.
Hivi lini mtakubali kuwa na mapungufu bila kusingizia wanawake? Ni kweli shida hii kwa wanaume imekuwa kubwa sana, kama mnaona kukataa tatizo ndio suluhisho it is ur loss. Unaweza usiwe wewe lakini wengine wanalo; utafiti rahisi ni uwepo wa midawa kibao ya kuongeza nguvu za kiume. Na usinipe hiyo sh.t ya kuwa wanawake hawatoi ushirikiano, unless umechukua changu au umebaka; kama mdada ameridhia mwenye kushiriki tendo la ndoa na wewe lazima atatoa ushirikiano mradi tu anaenjoy, lkn kama unamboa hapo ndipo ushirikiano unakuwa mdogo.
Umewapimaje jomba?
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?
hamna hawawezi kokote
wengine tumechezea number zote
tukubali tu ukweli wanaume tulio nao ni mwendo wa 1 bila moja bila
Kweli lakini kuna vitu nimeviandika na wewe umevinadika pia, kuonesha kwamba tunakubaliana hebu rudia kusoma, kuacha kula vyakula vya asili na hata kuacha kufanya mazoezi..... hivi na wewe umeviandika kuonesha kwamba tunakubaliana, labda kwa kuwa umetaja viti vingi zaidi. Sijaandika kwa ajili ya kujifurahisha au kumfurahisha mtu ninafurahia kuweka thread hiyo hapa kwa kuwa hata wewe umeweza kuwafunza watu zaidi, asante.Siamini hii maneno, research hii umeifanyia Mikoa gani na data analysis umetumia software gani ndugu yangu? Usiandike vitu vya kuigusa jamii kiasi hiki kwa kujifurahisha. Ila kama ni kweli kuna mambo mengi yanayosababisha (1) Vyakula tunavyokula siku hizi vimechakachuliwa sana, mfano kuku wa nyama, mayai, kitimoto wanalishwa ARV kwa ajili ya kukua mapema na mafuta ya kupika (Korie) (2) Kutokufanya mazoezi (3) Kupiga masterbation (4) Kunywa pombe kupita kiasi (5) Kufanya mapenzi kupita kiasi wakati wa balee (6) Mwenza yaani mwanamke kutokujua kufanya mapenzi (mwanamke kulala tu akisubiri afanywe) (7) Kuvuta sigara na madawa ya kulevya (8) Mawazo ya tofauti wakati wa tendo (9) Kumchoka mpenzi (10) Kuugua magonjwa ya zinaa siku za nyuma (11) Joto kali (12) Kunenepeana (13) Ugonjwa wa moyo (High Blood Pressure) (14) Uchovu mwingi
Tupe ukweli hata hapa Jane mbona unabania maarifaaa?mnadanganyana kasome post yangu hakuna gonjwa la nguvu za kiume
mnadanganyana kasome post yangu hakuna gonjwa la nguvu za kiume
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
Kizazi cha waume wa mbegu kiliisha zamani, wasasa mauzauza tu.
Of coz! mm mwenyewe nisharudishiwa hela zangu na machangu kadhaa ambao nimewalipa tukatohoe kale ka-amri!mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?
Taratibu King Kong 111 huwaga unatoa mada za maana leo vipi umelewa nini?Umeangalia takwimu za mganga,how? Au hao wanaume wote walikufanya ukagundua kwamba ni wachovu?
Hilo unalosema ni kweli lakini inatakiwa lichukua muda mrefu sana, tatizo hapa utakuta mwanaume kabla hata goma halijachanganya anamalizia sebuleni hata chumbani hajafika na kuwaacha wake zao na shombo. Hivyo wanaume wengi hawajui jinsi ya kuvuta muda ili waweze kuwafurahisha wake zao pamoja kujifurahisha wenyewe.Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...