Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.

Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.

Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.

Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.

Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.
 
hivi kuridhika kwa mwanamke kukoje? Wanawake wenyewe ndio wanaosababisha hili jambo maana likimtokea mwanaume wanaanza kumlaumu na hivyo kupelekea mwanaume kushindwa kujiamini. Tendo la ndoa ni pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.
Wanataka kulidhishwa tu bali hataki kushiriki ili huyu mwanaume amridhishe. Mwanamke unakuta analala kama gogo huku emejificha uso eti anaona aibu, ukimwambia chezea machine anaanza kuchekacheka halafu akiishika anaanza kusema eti mbona kadogo. Maswali gani ya kipuuzi kama hayo kwa mwanandoa wako.
 
Labda tu kwa kuongezea kuna magonjwa kama ya kisukari, na pia vitu kama unywaji pombe kupita kiasi madawa ya kulevya, pressure, na kutojiamini huchangia kwa kiasi kikubwa.

Ni vzr sisi wanaume kuwa makini ni hii hali otherwise tutajikuta tunawalaumu wenzetu bure. Twaweza kupokea hoja hii kama changamoto!
 
hivi kuridhika kwa mwanamke kukoje? Wanawake wenyewe ndio wanaosababisha hili jambo maana likimtokea mwanaume wanaanza kumlaumu na hivyo kupelekea mwanaume kushindwa kujiamini. Tendo la ndoa ni pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.
Wanataka kulidhishwa tu bali hataki kushiriki ili huyu mwanaume amridhishe. Mwanamke unakuta analala kama gogo huku emejificha uso eti anaona aibu, ukimwambia chezea machine anaanza kuchekacheka halafu akiishika anaanza kusema eti mbona kadogo. Maswali gani ya kipuuzi kama hayo kwa mwanandoa wako.

Hivi lini mtakubali kuwa na mapungufu bila kusingizia wanawake? Ni kweli shida hii kwa wanaume imekuwa kubwa sana, kama mnaona kukataa tatizo ndio suluhisho it is ur loss. Unaweza usiwe wewe lakini wengine wanalo; utafiti rahisi ni uwepo wa midawa kibao ya kuongeza nguvu za kiume. Na usinipe hiyo sh.t ya kuwa wanawake hawatoi ushirikiano, unless umechukua changu au umebaka; kama mdada ameridhia mwenye kushiriki tendo la ndoa na wewe lazima atatoa ushirikiano mradi tu anaenjoy, lkn kama unamboa hapo ndipo ushirikiano unakuwa mdogo.
 
hivi kuridhika kwa mwanamke kukoje? Wanawake wenyewe ndio wanaosababisha hili jambo maana likimtokea mwanaume wanaanza kumlaumu na hivyo kupelekea mwanaume kushindwa kujiamini. Tendo la ndoa ni pande zote mbili kwa mwanamke na mwanaume.
Wanataka kulidhishwa tu bali hataki kushiriki ili huyu mwanaume amridhishe. Mwanamke unakuta analala kama gogo huku emejificha uso eti anaona aibu, ukimwambia chezea machine anaanza kuchekacheka halafu akiishika anaanza kusema eti mbona kadogo. Maswali gani ya kipuuzi kama hayo kwa mwanandoa wako.

Kwa kwa kwa kwa! You have made my day jamani! Anajificha uso tena! na anasema mbona kidogo duh, sa apo si anaua stim zote jamani!
 
Wanaume wengi ni wabinafsi. wao wanapenda tu kufika kule ... cha mlima kilimanjaro hawawajali wenzi wao. kwa upande mwingine kazi nyingi wanazofanay mchana kutwa bila kupumzika msongo wa mawazo na vitu kama hivyo! Cha muhimu relax baada ya kazi, zungumza na mwenzi wako kama vile hakuna shida duniani. nakumbuka ule wimbo "Naweka shida chini nanyanyua mikono juu banjuka tuuuu" kwani shida zipo maisha ni magumu ila ikifika upande huo mjaribu jaman kuturidhisha cos na sisi ni viumbe twawahitaji. Ila ukijidai umechoka kla cku mwishowe mkeo anapata kasmall house utamlaumu nani. Pia vyakula vya siku hizi mf. kiepe cjui zege kila cku unafikiri utapata nguvu, mwanaue unashinda kwa coca na karanga unadhani utapata nguvu za kula chakula cha usiku. Chakula dona bwana nguvu ka simba eeeeeeh bwana !!!!!!
 
kweli kabisa maneno yako na ukiuliza vp unasikia nna stress,au mtu anakupandia kama anapanda farasi kelele mapaka unajuta kwanini umeolewa na yeye,ukimwambia tusifanye hivi tujaribu hivi dooooo! hapo kesi yake sio yakawaidida umeona wapi umefundishwa na nana ilimradi dhiki....
 
Umeangalia takwimu za mganga,how? Au hao wanaume wote walikufanya ukagundua kwamba ni wachovu?
 
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.

Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.

Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.

Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.

Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.

Siamini hii maneno, research hii umeifanyia Mikoa gani na data analysis umetumia software gani ndugu yangu? Usiandike vitu vya kuigusa jamii kiasi hiki kwa kujifurahisha. Ila kama ni kweli kuna mambo mengi yanayosababisha (1) Vyakula tunavyokula siku hizi vimechakachuliwa sana, mfano kuku wa nyama, mayai, kitimoto wanalishwa ARV kwa ajili ya kukua mapema na mafuta ya kupika (Korie) (2) Kutokufanya mazoezi (3) Kupiga masterbation (4) Kunywa pombe kupita kiasi (5) Kufanya mapenzi kupita kiasi wakati wa balee (6) Mwenza yaani mwanamke kutokujua kufanya mapenzi (mwanamke kulala tu akisubiri afanywe) (7) Kuvuta sigara na madawa ya kulevya (8) Mawazo ya tofauti wakati wa tendo (9) Kumchoka mpenzi (10) Kuugua magonjwa ya zinaa siku za nyuma (11) Joto kali (12) Kunenepeana (13) Ugonjwa wa moyo (High Blood Pressure) (14) Uchovu mwingi
 
Back
Top Bottom