Kwanini wanaume wengi wachovu kitandani?

nilishasemahapa na sasa nasema tena..." enyi kina Dada... viungo vyenu mmevikomaza wenyewe... cjui mmevikomazaje.. tofauti kabisa na enzi za Mwalim...!!
 
Hivi lini mtakubali kuwa na mapungufu bila kusingizia wanawake? Ni kweli shida hii kwa wanaume imekuwa kubwa sana, kama mnaona kukataa tatizo ndio suluhisho it is ur loss. Unaweza usiwe wewe lakini wengine wanalo; utafiti rahisi ni uwepo wa midawa kibao ya kuongeza nguvu za kiume. Na usinipe hiyo sh.t ya kuwa wanawake hawatoi ushirikiano, unless umechukua changu au umebaka; kama mdada ameridhia mwenye kushiriki tendo la ndoa na wewe lazima atatoa ushirikiano mradi tu anaenjoy, lkn kama unamboa hapo ndipo ushirikiano unakuwa mdogo.

majibu mepesi kwa maswali magumu.......................hivi raundi moja kwa kutwa haikutoshi wewe Kaunga?............kwa wiki unahitaji mara ngapi na mikupuo mingapi?...........................nifahamuvyo one trip per session does fine......for four to five days a week......................tatizo hapa ni trade off between quality versus quantity.........................and you can not have both.....................
 
Neno!
wawili wanahusika.Ila wakaka mjitahidi kupokea criticism na kuzifanyia kazi pale mnapoona zinawahusu.
Halafu punguzeni mishemishe - mnabadilish amno wanawake.Ushajiuliza ni wanawake wangapi umewasugua kwa style tofauti tofauti? Mnajua hicho nacho kinasababisha kiwango kushuka? Hata machine hupumzishwa kufanyiwa service kila baada ya kilomita kadhaa.

tatizo ya hizi zinatofautiana na mawazo ya Darwin.........................use it or lose it...........................ingawaje nayo yana mipaka yake...............................
 
Hivi lini mtakubali kuwa na mapungufu bila kusingizia wanawake? Ni kweli shida hii kwa wanaume imekuwa kubwa sana, kama mnaona kukataa tatizo ndio suluhisho it is ur loss. Unaweza usiwe wewe lakini wengine wanalo; utafiti rahisi ni uwepo wa midawa kibao ya kuongeza nguvu za kiume. Na usinipe hiyo sh.t ya kuwa wanawake hawatoi ushirikiano, unless umechukua changu au umebaka; kama mdada ameridhia mwenye kushiriki tendo la ndoa na wewe lazima atatoa ushirikiano mradi tu anaenjoy, lkn kama unamboa hapo ndipo ushirikiano unakuwa mdogo.

Unaweza kuongelea vipi suala la kuongezeka kwa waganga wanaotangaza:-
1.Kutafuta mpenzi
2.Kuongeza makalio.
3.Kudumisha ndoa.......etc?
 
heri lakini msituzeeshe bure kwa kutubinuabinua usiku kucha.dkk 2 watu tunalala kwa raha hadi mwezi uishe ndo kingine tena

'kuwabinuabinua' au nyinyi wenyewe 'kubinuka' according to the flow?
 
kazi na majukumu ndo sababu kaka,ukirudi home umechoka, kesho yake alfajiri haupo, ile kitu ni kazi ngumu, unataka upige mpaka akuappreciate halafu iweje, kama haridhiki atimkie mbali, kisa cha mimi kufa kwa uchovu uliozidi nini? angalia hata vifo! wanaume tunakufa sana tunaacha wajane, so friend usijiumize kabisa.
 
kweli kabisa maneno yako na ukiuliza vp unasikia nna stress,au mtu anakupandia kama anapanda farasi kelele mapaka unajuta kwanini umeolewa na yeye,ukimwambia tusifanye hivi tujaribu hivi dooooo! hapo kesi yake sio yakawaidida umeona wapi umefundishwa na nana ilimradi dhiki....

Duh,......kumbe mna mateso sana eh haha poleni sana.
 
Unaweza kupiga kimoja lakini kikawa cha ukweli...

Ewaaaaaaaaaa,.....
You have said it all.
Kama kimoja unapiga dakika 30-40 kwanini urudie kingine?
Kwanza wanaume siku hizi wajanja sana,wanajua sababu ya waume wengi
kufa kabla ya wake zao ni kwasababu ya kukojoa kojoa,............

Nipige vitatu ili nani anisifu?
Pata kimoja cha dakika 30,...maandalizi nimekupa kama haujaridhika mmm tusiuane
katafute wasio penda kuishi maisha marefu.
 
Ewaaaaaaaaaa,.....
You have said it all.
Kama kimoja unapiga dakika 30-40 kwanini urudie kingine?
Kwanza wanaume siku hizi wajanja sana,wanajua sababu ya waume wengi
kufa kabla ya wake zao ni kwasababu ya kukojoa kojoa,........
....

Nipige vitatu ili nani anisifu?
Pata kimoja cha dakika 30,...maandalizi nimekupa kama haujaridhika mmm tusiuane
katafute wasio penda kuishi maisha marefu.

Sasa mnakubali ehhh?
Nilianzisha mada ya hiyo ishu wanaume wenzio wakaninanga ile mbaya.
Waache wajiue kwa misifa lol
 
kama ni hiyo ni kweli, basi nyumba ndogo inakuwekea enabling environment ya ku-perform vizuri zaidi kuliko nyumba kubwa
na kama hali ndo hy ujue kbs kuwa mkeo naye ananyumba ndogo inayomridhisha kwelikweli ndo mana hahangaiki na wewe.
 
mmmh hv kimoja kinaweza kuwa cha ukweli kweli?

Ni balaaa,..
Unaweza pewa vi5 lakini vya dakika moja moja,....
wakati upapewa kimoja cha dakika 40,....kipi bora?

Ni kama unaletewa ugari tonge mbili,then unamega unaisha,haujashiba unasubiri
uanze kuandaliwa mwingine tena......hamu haiiishi tu ukiwa unasubiri?
 
hamna hawawezi kokote
wengine tumechezea number zote
tukubali tu ukweli wanaume tulio nao ni mwendo wa 1 bila moja bila

Duh,pole sana aisee.
sitashangaa ukisema habari za kileleni unazisoma tu kwenye maandishi.
Mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,....
 
Mlo bora (more vegetables )
Mazoezi ya kutosha
drink plenty of water
good sex life

Very simple recipe ..

Yaani ume simplify lakini ujumbe wako una
kila kitu........
Kuendelea kukataa tatizo sio kuliondoa tatizo,bali ni kulizidisha zaidi.

Tatizo ni jinsi gani ule vyema?
Maji kiasi gani?
Mazoezi gani???

Huh,thank God,...i know what it means kupiga gori moja,...i have been there.
Ina umiza zaidi kwa mwanaume kisaikolojia kuliko mwanamke na ukishindwa leo,na kesho,na kesho kutwa
basi tena,....lazima hofu itafanya kila siku ushindwe.
 
Na kwa Wanawake wasiotosheka vp? Nimeachana na mchumba wangu kwani nilihic alikua na ajenda ya kuniua.. KIDUME Nabamiza round 4, saa 2 ucku hadi 6 non stop lakini anasema hajatosheka... So hapo atasema mwanaume mchovu ama yeye ana pepo? Ukweli Wanawake hawatosheki...
 
Wana JF nashauri tumuombe Mtimkavu atupe mbinu/ushauri wa dawa za kisuna kuhusu suala hili.
 
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.

Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi 'kufikisha mzigo melini' na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.

Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri kitandani.

Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.

Hawajui kuwa hata kama siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.

Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.

Umetembea na waume za watu wengi eeeh?
 
Hali hii ndiyo inakusumbua wewe. Umepata wapi data, na kwa nini imekukera hadi ukaandika? Njoo nikupe dawa.
:A S 465:
 
Back
Top Bottom