"Aya asante kaka! Kwaheri"nilikosea no
thread, ni nzuri;
hapo majibu yanaweza yakawa hivi.
1.nang'ang'ana namba alinipa mwenyewe.
2.nimepewa na rafiki zake
3.mimi ndiye wakala niliyemsajilia nalazimisha hivyo
4.mm nilishawahi kuwa classmate wake few years ago.
Kweli bwana! Kuna wanaume wanaanza mawasiliano vizuri yaani mpaka utakapomuuliza ivi ulitoa wapi namba, ata akikwambia ameokota njiani bado utataka uendelee kuwasiliana naeMaswali yote ni rahisi inategemea tu ujasiri wako.
Hahaha! Umenikumbusha nilikua na kamtindo kabaya zamani!!! Hizohizo msg za kujifanya umekosea.1.Unaandika sms hivi mfano "Juma vip Hizo million 5 ntakutumia kwa mpesa ili unichukulie ule mzigo wote huku Biashara inaendelea poa" hakikisha we mfanya Biashara alaf unaituma kama ume wrong numbe
2.oya Dulla Nipo chuo apa njo faster nimeksbir alaf naskia boom tayar , alaf unatuma kama ume wrong number kwa wewe mwana Chuo
3.Dogo nepoteza ID yangu pamoja na ATM zangu ebu nenda ghetto uchek, una wrong number hii ni kwa wale wafanyakazi wa maofisin kama vile, benki, ofisa yeyote au mwalimu unaweza tumia au daktari
. Zipo nyingi taja fani yako tukpe technic , chamsingi ni ule mwanzo tu nahuu ndo mwanzo mzur ila usifanye hiv kama huna sifa hiyo au usmfanyie dem wa JF maaana kashajua tayari ila weng sana huwanyaka bila shida kwa kutumia hiz mbinu. I'm out
Na kiustaarabu hutakiwi kugawa namba ya mwingine bila ruhusa yake. Nimekua nikilijua hili ko hua sielewi mtu anaeshindwa kumtaja aliempa namba, naona kama kuna kitu nyuma ya pazia na si mtu mwema.Kibongobongo sio ustaarabu kumtaja MTU aliyekupa # ya fulani coz unaweza wagombanisha bure.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kama kuna mtu ana kuhitaji mi nampa, ukute ndio atakuwa Obama wako, staki kuzuia riziki za masista woote ninao wajuaNa kiustaarabu hutakiwi kugawa namba ya mwingine bila ruhusa yake. Nimekua nikilijua hili ko hua sielewi mtu anaeshindwa kumtaja aliempa namba, naona kama kuna kitu nyuma ya pazia na si mtu mwema.
Kuna kaka alikuja na gia hiyo ya kupewa namba na kuanza kutongoza... Nikamtumia mapicha ya magonjwa ya zinaa. Sijui alimrudishia namba huyo aliempa!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kimya kileKuna mwenzako alijibu hivyo hivyo kama ulivyoandika hapo akaambiwa yeye ni " JINI " jamaa mpaka leo ameamua kipaumbele chake kiwe tu kupiga PUNYETO kwani anaona anasumbuka tu kila siku kutongoza halafu anatolewa nishai!
Mpe ndio lakini isiwe siri kaitoa wapi!Kama kuna mtu ana kuhitaji mi nampa, ukute ndio atakuwa Obama wako, staki kuzuia riziki za masista woote ninao wajua
Kwani na wewe Pap, ukisha jua namba ilitoka wap, what z a big deal hapo!?Mpe ndio lakini isiwe siri kaitoa wapi!
[emoji38][emoji38][emoji38] Umeniita kama anavyoniita bestie yangu "Pap"... NimefurahiKwani na wewe Pap, ukisha jua namba ilitoka wap, what z a big deal hapo!?
Mi naona hapo uwa mna complicatisha tu mambo.
mmoja alinijibu eti kaiukuta imejisave tu kwenye simu... nikamjibu ifute sasa
kabisa ila nilikuwa sina namnaMungu anakuona
Akikuuliza namba umetoa wapi? Mwambie namba ya simu sio siri. Ni sawa na jina la mtu. Unamwita mtu jina, anakuuliza umejuaje jina langu..Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao.
Nalisema hili kutokana na kwamba unaweza kumkuta mwanaume anapambana au anahangaika kuipata namba ya mwanamke fulani ambaye hajuani nae au labda namba yake kaipata tu kwa mtu ili aanze kumtongoza kwa simu ama kwa kumpigia au kumtumia meseji lakini imekuja kujulikana kuwa hakuna mtihani mgumu au swali gumu ambalo wanaume wengi hukumbana nalo na ambalo wengi wao hushindwa kulijibu na hatimaye kujikuta wanajichanganya na wanamkosa huyo mwanamke.
Utakuta mwanaume anaanza kujitutumua kwa kuwasiliana na huyo mwanamke lakini akiulizwa tu swali hili " je namba yangu umeitoa wapi au kakupa nani? " wengi wao hukata tamaa kabisa na hata kuishiwa tena nguvu za kuendelea kuwasiliana na yule binti au mwanamke kwani hakuna swali ambalo wanaume wengi hawalipendi na hawaliwezi kulijibu kama hilo.
Labda leo tupate uzoefu kutoka kwa wanaume ambao naamini humu mpo wengi ni kwanini wengi wenu pamoja na jeuri zenu zote mkiulizwa tu hilo swali tajwa hapo juu huwa mnajiumauma na hatimaye kusepa na kuishia kulalamika tu?
Na je unadhani majibu sahihi ya kumjibu mwanamke ambaye hujuani nae halafu umepata tu namba yake kwa mtu na unataka kumtongoza endapo atakuuliza hilo swali kuwa " namba yangu umeitoa wapi au namba yangu kakupa nani? " ni yapi au ni lipi?
Hahahaa[emoji38][emoji38][emoji38] Umeniita kama anavyoniita bestie yangu "Pap"... Nimefurahi
Basi tu unajiridhisha moyo!!!
Ila kuna marafiki wamebobea kwa kutoa namba za watu!
Wooow!Hahahaa
Kama huwa lina kufurahisha then lets stick with it, ntakuwa nakuita hvo mara moja moja.
[emoji1] mi mwenyewe ni mbobevu, kuna siku nilikuwa nimeenda benki moja hapa town na sista flan hivi, sasa kuna jamaa ana fanyia pale, sku nyingine kabsaaa, nikaenda peke angu, jamaa aka omba namba, mi nikatoa, yule dem ali ind kishenz maana alijua.
Ila guess what? Now ana fanyia benki ile ile, anaishiaga tu kusema ila wewe...! Yule jamaa ndio ali muunganishia baada ya wao kufanya yao. Sku hizi utakuta hata wakiwa na time wanakuja getto kunibeba tukale kuku kdogo.
Kwa hiyo kutoa namba si mbaya, ni wewe sasa mwenye namba ndio utadeal nayo unavotaka.
Kaka naomba nami uni pm hyo spray aseeMkuu maneno matamu unayo lakini?
Itafute hiyo spray ni bei chee sana 15 elfu tu!
Shukrani zimuendee dada nanilii maana ndiye aliyenishawishi ninunue kwa mara ya kwanza!