Mbona tupo,ila tumebakia wachache sana...
demu wako ni mpole?Tupo
Ila sasa mnatuona maboya sasa hivi ila mkisha chakazwa huko mnakuja mnataka tuwaoe....
Na si tumeamua tutulie na wanawake wapole wenzetu.
Sometimes wanawake wanawapoteza wao wenyewe kwa kutokuwa waaminifu na kuwatenda mwisho wa siku nao wanakuwa manunda.Salaam wanajukwaa,
Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati.
Katika kujaribu kutafuta majawabu ya swali hili pia nimekua najiuliza vipi wanaume wanaweza kubaki kua waaminifu huku wanawake wakiongeza speed ya kudanga.
Hivi inawezekanaje wanaume wakabaki kua waaminifu huku wanawake wakitolea macho pochi tu.
Je wanaume watabaki vipi wapole huku wanawake wakizidi kua mangangari 50 kwa 50.
Na je wanaume watabaki vipi wachangamfu huku wakipigwa kejeli kua wao vibamia, wanaume suruali nk.
Wapo watu wapole mzee.Panua dunia dunia yako ukutane na waungwanaHakunaga watu wapole..
Only kuna watu wakimya
Hawana soko,hawana mvuto
Type hizo za wanaume wanaopoaga mademu waliotendwa wanatafuta kwa kupumzikia kwa miezi miwili mitatu then wakatafute mwanaume halisi
Umeona wapi mwanaummke anapemda mwanaume wa hivo?ukiona una sifa hizo juu na mwanamke kakupenda ujue ni ili akupelekeshe anavyotaka na usimfanye lolote...