Kwanini wanaume wapole, waaminifu na wenye upendo wamepungua sana?

Nilishawahi kuwa na mtu nikawa mtulivu kabisa sipendi ugomvi wala nini, nilidharaulika ikafika hatua dada ananiambia lazima tugombane hata kidogo. Mwisho wa siku alikua mtu alieyendwa huko nyuma nikalala mbele.
 
tupo sema ni bahati kukutana tu, hata mm nilikuwa naonaga kama hakuna wanawake kama hao kumbe wapo ila shida ni njia za kukutana na kuaminiana katika kupeana nafasi
 
Salaam wanajukwaa,

Kumekua na malalamiko mengi miongoni mwa wanawake kua siku za hivi karibuni kumekua na upungufu wa wanaume waaminifu, wapole na wenye upendo wa dhati.

Katika kujaribu kutafuta majawabu ya swali hili pia nimekua najiuliza vipi wanaume wanaweza kubaki kua waaminifu huku wanawake wakiongeza speed ya kudanga.

Hivi inawezekanaje wanaume wakabaki kua waaminifu huku wanawake wakitolea macho pochi tu.

Je, wanaume watabaki vipi wapole huku wanawake wakizidi kua mangangari 50 kwa 50?

Na je, wanaume watabaki vipi wachangamfu huku wakipigwa kejeli kua wao vibamia, wanaume suruali nk?
Tukiwa wapole si mnatuona mabwege, sasa dawa yake ni kusugua na kusepa.
 
Hawana soko,hawana mvuto

Type hizo za wanaume wanaopoaga mademu waliotendwa wanatafuta kwa kupumzikia kwa miezi miwili mitatu then wakatafute mwanaume halisi

Umeona wapi mwanaummke anapemda mwanaume wa hivo?ukiona una sifa hizo juu na mwanamke kakupenda ujue ni ili akupelekeshe anavyotaka na usimfanye lolote...
Lakini jamaa akiamua kulipa kisasi! Ndo utasikia Dem kakatwa mkono,kachomwa na magunia ya mkaa,kamiminiwA risasi Saba,hao wakimya hao
 
Back
Top Bottom