Kwanini wanaume wanauliza maswali yakijinga?

Bora unisadie kuwasema,ila nilicho gundua wengi ni watoto,we angalia maswali yao yalivyo
 

Natangaza rasmi kuanzisha utaratubu wa kukutongoza walau mara moja kwa wiki ili uondoe mkosi.
Manake tunakoelekea sitshangaa siku ukitutukana "live" hapa jukwaani. Na kwa ajili ya kuliokoa jukwaa letu na kulinda heshima yetu nitafanya kazi bila kuchoka,nina uzoefu wa kutongoza mabinti wa kule kijijini kwetu hadi mwaka mzima ndo unakubaliwa, sasa kwa wewe ambaye unaonekana nshomile kidogo sitapata shida.:clap2:
 
WATU WENGINE BWANA...:laugh: :laugh: KUJIFANYA WATAKATIFU.......
 

Mwalimu aliwahi kuniambia "Kuuliza si ujinga". Hivyo ukiona ni swali la kijinga ujue hujalielewa (sasa kama hujaelewe basi wewe ndio wawa mjinga)" mwisho wa kunukuu!!!!!!!!
 
Nimeshukuru sana amepata majibu kutoka kwa jinsia yake.... Kama wewe unaona thread haikufurahishi ipotezee kwani lazima ujibu au uisome... Kama uliznzisha yako haikupata wachangiaji rudi chimbo, fikiria kitu kipya.... Hasira zako kwako, unapokuja kwenye social network jua kuna wachangiaji wa kila aina.... Pole sana na kutokutongozwa kwa kipindi kirefu!!!!!:coffee:
 

JE UNASUMBULIWA NA UKAMEEEEEEEEEE MBONA MKALI KM PILIPILI KICHAAA.

UKIONA HAPAKUHUSU SI UPOTEZEE UTAFUTE SEHEMU UNAYONOGEWA WEWE MAMA VIPI AKA!:twitch:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…