Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Ablessed

Amuoneshe ili iweje?Akiona poa,ampe green light mzee aendelee mtasemaje?Acheni kuvunja ndoa za watu,huyo binti na jamaa na huyo mzee plus other people can solve hili tatizo kiutu uzima bila kuvunja ndoa za watu.

You people are ruthless na masnitch
Don't take it personal jf is where we dare to talk openly. Mawazo yako si mawazo ya watu wote so acha na wengine watoe mawazo yao . Wewe ni nani mpaka unatupangia cha kushauri. Halafu kwanini unahisi ndoa itavunjika mbona una uchungu sana wa hiyo ndoa kuliko huyo binti mdogo. Je angekua binti yako ungechukua hatua gani.
 
Pole sana kaka! Dhamira ya moyo ni kutaka binti yako asiharibiwe. Maoni yangu ktk hilo utilie mkazo ktk namna mbili.
Kwanza mjengeee uwezo binti yako awe thabiti juu ya kutoendeshwa/ kushawishiwa na wanaume sio huyo babu tu bali hata vijana wenzie. Hakisha anajitambua vizuri kuhusiana na mapenzi mpaka atakapoamua kuolewa

Pili usipeleke meseji kwa mke wa babu, bali mfuate babu ukiwa na hizo sms halafu umpe onyo tu kuwa endapo ataendelea kwa mara ya pili basi utakachomfanya anajua mungu.

Angalizo:
Hiii ni kwa wanaume wote, usigombane na mwanaume mwenzio kisa mapenzi/mahusiano ya mwanamke/mtoto/mke/ dada yako kwani Wanawake mwalimu wao Kipofu.
Maaana wakiamua yao hawaangalii kilichopita.
USHAURI SIYO LAZIMA UKUVUTIE.
 
mkuu masandare umeongea point sana tatizo mleta mada anataka apewe ushauri anaotaka kuusikia yeye...hatak kuambiwa uhalisia...wadau wametoa mifano hapo juu mfano yule mwalim wa mbeya aliemchunglia binti akiwa ananyonya koni ya babu aliekuwa akishitakiwa kwake...na hicho ulichoongea wewe ndo kinazidi kutoa picha halisi...mie niliambiwa upeo wangu mdogo nikaona isiwe tabu nikae pembeni nione wenzangu wanashauri nin
 
Last edited by a moderator:
Doyi Yap unachosema ni kweli, mtoa mada anatakiwa asiendeshwe na historia ya binti kwamba toka mtoto anatabia nzuri, kila mtu hakuwahi kuwa na tabia mbaya utotoni.
Na kumchonganisha babu na familia yake hakumalizi tatizo la huyo binti kuombwa papuchi, wataendelea wengine tena huenda marafiki wa mtoa mada au kaka zake mke wake.

JAZBA NI SUMU KWA WANAWAKE
 
Don't take it personal jf is where we dare to talk openly. Mawazo yako si mawazo ya watu wote so acha na wengine watoe mawazo yao . Wewe ni nani mpaka unatupangia cha kushauri. Halafu kwanini unahisi ndoa itavunjika mbona una uchungu sana wa hiyo ndoa kuliko huyo binti mdogo. Je angekua binti yako ungechukua hatua gani.

Abless acha na wewe ku intimidate watu na mawazo yao pia...

sasa niambie,utawadhibiti wanaume wangapi watakamtongoza?Si ni kijiji kizima?!!Utawezea wapi?

Acheni kujitia mnajua sana kusnitch,mdhibitini huyo mzee personally na sio lazima kwenda kushtaki kwa familia yake.
 
Doyi Yap unachosema ni kweli, mtoa mada anatakiwa asiendeshwe na historia ya binti kwamba toka mtoto anatabia nzuri, kila mtu hakuwahi kuwa na tabia mbaya utotoni.
Na kumchonganisha babu na familia yake hakumalizi tatizo la huyo binti kuombwa papuchi, wataendelea wengine tena huenda marafiki wa mtoa mada au kaka zake mke wake.

JAZBA NI SUMU KWA WANAWAKE

Masandare umeongea point sana mzee mwenzangu...hizi ndio akili tunazozitaka humu!

u have my respects sir
 
Eti mzee kamtongoza.... unasetiwa wewe!! Kwa nini akwambie wewe na si mkeo?

Mkuu Muhapa,no wonder hiki kibinti kinamtaka jamaa na kinajifanya ku play "innocent game"...

Na jamaa nimemshangaa hadi anawaita watu humu eti wajinga yeye ndio ana akili,angekua na akili asingeleta uzi humu kuomba ushauri to begin with...
 
kabanga.. Hii kauli imekaa kiwivu wivu zaidi kuliko uchungu.. Yaani heading inatosheleza kuonyesha jamaa anaumizwa na wivu..

Mwana Sosoliso,huyu jamaa wa huu uzi ana "wivu" wa kike...

mpaka kuleta jf ni dalili mbaya sana,anashindwa vipi kum-face mzee mano-on-mano aka-clear things like a tough guy??!

I hate nigguz playin p.ussy like a m.aafaka!
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako

Salute kwako mkuu KikulachoChako yaani ni jambo la kusikitisha kwakweli,ukimuona huyo mzee humdhanii! Halafu ni mlokole anaabudu kwa mchungaji mmoja ambae hivi karibuni aliingia kwenye kashifa ya kuvuruga ndoa ya mwimbaji maarufu wa injili.




Aaaaaahhhh sasa muumini nae anafuata nyayo za mchungaji wake loh hii hatari sana lkn huwa tunafundishwa kuwa tufuate maneno na siyo matendo sasa huyo muumini amefanya copy and paste kila kitu nampa pole yake mweeeeeehhh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe hekima yako ndo hiyo kwamba hata binti yako akikuletea kesi km hiyo utampuuza kwakuamini hivyo unavyoamini!? Unaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndo maana unaringanisha kesi za wapenzi wako na jambo serious km hili. Huyu me ni sawa na mwanangu,ingawa anafanyakazi kwangu,amenipa malalamiko km boss wake lkn pia km mzazi wake.

Bwana Magode,huyo si mwanao,hata ukijifanya kujivisha ubaba kiasi gani,the bottom line is,si mwanao...

That being said,its clear umeshindwa kumdhibiti huyo mzee..

ulichofanya ni kukimbilia kufungua uzi ukidai unaomba ushauri...on the other side umekuja kulalamika

On funny turn of things,watu wanakushauri unawaita wajinga,ungekua kichwa usingeleta uzi hapa to begin with..

Hebu mdhibiti huyo mzee like a man
 
nilisikiaga group fulan la wazinzi likijadili eti watoto wa rika izo watam.K.zao zimebana....sasa sijui kweli mliopo humu mtuthibitishie.
 
Nakushauri ongea na huyo baba tena na tena please ongea nae man to man ila kusema uende kumuonyesha msg hizo mke wake nadhani itakuwa more than worse mkuu!!!
 
LebronWade

Mkuu usiongee kana kwamba mawazo yako ndiyo mawazo bora kuliko mawazo ya wengine. Bandiko lenyewe umelisoma vizuri ukalielewa!? Hatua unazozisema nilishachukua,km ungekuwepo wakati tunaongea na huyo mzee wala usiongea haya maneno. Mzee alikiri kufanya yote niliyoelezwa na binti,akanisihi mno nilikumbatie hili jambo kabla halijafika ktk familia yake.

Me niliheshimu mawazo yake maana aliahidi kutofanya tena! Haikuchukua muda akaanza kupiga simu kwa binti,kwa maelezo ya binti hakupokea simu zake,ndipo akaanza kumtext. Hata hivyo bado sms hatujazipeleka,nikaamua kuja hapa kupata mawazo mapya maana hili ni jukwaa huru. We badala ya kushauri unaanza kushutumu watu eti wanafiki. Toa ushauri tu,na tukiridhika nao tutauchukua!
Muwekeeni mtego huyo mzee tena ita vijana wa kitaa waje washuhudie . Hakikisheni mnamkamata live na hapo ndo umwambie vizuri jitihada ulizofanya za kumuonya. Lkn uwe mwangalifu wasimdhalilishe vijana kwa kumfanyia mchezo mchafu lengo lako liwe kumuweka wazi na jamii imjue mizee ya hivi shida sana na ni hatari kwa jamii
 
haya asante kwa kunipima kuwa uwezo wangu ni mdogo ila hyo ni kwa maoni yako..huenda nimekuzidi kila kitu mpaka hata huo uwezo wa kufikiri..ila kwa kuwa hatujuani una haki ya kusema hvo....in short we mtu mzima...mkanye tu binti yako kuwa ampotezee tu huyo mbabu..akituma mesej asijibu wala kupokea simu zake asipokee..kama akiweza kmblock pia afanye hvo...mambo ya kusema sijui umfate huyo mzee uanze kuongea nae bla bla hapo unajiaibisha wewe mkuu amini hilo jiulize utawafata wangapi kumwambia wasimsumbue?? huenda ukafanikiwa kwa huyo mzee kumdhibiti je wengine?? wapo wengi tu wanamsumbua ila kaamua tu kukuweka wazi kwa kuwa eidha hajampenda au walishaanza kudate jamaa kuna vitu flani akazingua ndo maana ukaambiwa...anyway hzo ni assumption zetu ukweli wanaujua wao ila ki ukweli faham tu kuwa mabinti weeeeeengi sana wanatafunwa na watu wa umri wa baba zao..na sababu zipo nyingi na wengine wazijua...hakuna kipya nilichoongea najua wajua....mchana mwema

ni mimi mwenye upeo mdogo wa kufikiri...doyi

Umenena vyeeema kabisa mkuu siongezi kitu

Cc amu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom