Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Tatizo la hiko kizee ni kimoja tu.Kanang'ang'ania msg badala ya airtel money,tigo pesa,mpesa na mitablet ya haja.
Silaha za mashambulizi na mbinu za kivita hana.

Na ndio wazee wa kisasa tunatumia hizo silaha.. Haya mambo ya massage nyingiiiii tunawaachia vijana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom