Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Hiyo safi binti akikupenda....akikuka
taa ataonesha sms zote utachoreka sana...hiyo ni noma! Kujiheshimu na kujikubali kuwa umezeeka ndo mpango!
 
mfate tena huyo mzee umuoneshe sms zake, then mkomalie unazipeleka kwake.

ahangaike hivyo kwa nini?yeye ana uhusiano gani na huyo binti hadi ku-share private issue za huyo binti? Je kila binti akitongozwa ata expose mambo yake?
Mie nadhani solution hapo amsomeshe binti umuhimu wa kukataa watu waliomzidi umri hapo kuna inter personal conflict kati ya vijana na wazee kuhusu age wise katika sex matters.lakini pia mbona kuna thread nimesoma hapo kuhusu aliyezidiwa umri 3 yrs na msichana? And then wadau wanachangia kuwa age is number. Basi age iwe namba tu.la muhimu wadada na wanawake wajitambue! Jamani tongozo halikomi .watongozwaji ndio wanyime.hakuna haja ya kumkosanisha mtu na mkewe.
 
Nlifikiri tutaenda Machame tukapande mlima Kilimanjaro:tape::tape::tape:

hahaaaa babu kule lazma twende mana ndiyo nyumbani sasa.....safari za kila mwisho wa mwaka zitahusika......
 
Mleta post ngoja kwanza. Umesema eti binti analetwa kwako malalamiko....!? Huna mke....? Kama unae, kwanini hapeleki kwa mkeo....!? Nachokiona hapa ni kuzidiana kete tu. Anyway nyote, wewe na yeye kinachowasumbua ni kipenyo tu.
Mkuu soma jibu la swali lako comment #53 .
 
Hoja imeeleweka isipokuwa nina mashaka na huo ukaribu wako na HG umeoa?una mchumba usikute ni wivu tu
 
Hoja imeeleweka isipokuwa nina mashaka na huo ukaribu wako na HG.....umeoa?una mchumba.....usikute ni wivu tu
Hilo swali nimeshalijibu kwenye comment #53 hebu rudi kasome hapo. Baada ya hapo jenga hoja nyingine wala usipate taabu ntakujibu mkuu!
 
Hivi mwanaume mtu mzima wa zaidi ya miaka 45,unatongoza binti mwenye miaka 16,17 au hata 22. Unakuwa umefikiria nini hasa, hivi watoto wa umri huo si watoto wako hao.

Mwanaume mwenzangu unapata wapi ujasiri wa kuvua nguo mbele ya mtoto kama huyo,kuna mzee ana zaidi ya miaka 48 ana msumbua binti anayenisaidia kazi zangu hapa,binti ana miaka 19. Kibaya zaidi huyu binti kazaliwa hapa na huyu mzee akiona.

Binti ameshaleta malalamiko kwangu zaidi ya mara 4 nikalazimika kuongea na yule mzee kirafiki,maana hata me ananizidi umri mzee yule alionyesha kunielewa na kuniomba nimtunzie heshima nami nikamuondoa shaka.

Leo binti kanionyesha message za yule mzee,nimechoka kabisaa,nimekubaliana na mawazo ya binti ya kuzipeleka hizi message kwa mkewe na watoto wake. Au nimekosea wadau.

Toto ndogo tamu
 
Pole sana mkuu, kama huyo binti ameomba msaada toka kwako hakuna ubaya ukizingatia anakuheshimu kama mzazi au mlezi wake nawe una wajibu wa kumsaidia

mchukulie hatua zaidi huyo mzee na usikute ana miwaya so anataka kuondoka na wengi isitoshe hata akipata mimba bado utakuwa mzigo wako kumtunza
 
Back
Top Bottom