Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Anaogopa wakubwa wenzake wana rambo, yeye ana muwa iyampwelepwetaaa bureee, bora dogo dogo wanasumaku na cc tunachuma, full kunasiana
 
Khaa!! Magode Miaka 19 hata katiba ya nchi inaruhusu au ni wivu wako mwenyewe. Kwenye mapenzi kuna wakubwa na wadogo tu hakuna wazee. +18 yrs wote ni wakubwa chini ya hapo ni wadogo. Kwani tatizo ni nini kama huyo akiliwa??
 
Kuna watu mnaongea humu!!imagine huyo anaeshtakia humu ingekua huyo binti yake wa kazi au wa kuzaa kamleta mzee jamii ya kina Mengi,Bharesa angemtolea nje?zaidi angekula kimyakimya.
Afu huyo mzee kapataje no ya cm ya huyo binti yako,na imekuaje huyo binti akuonyeshe wewe asimwonyeshe mkeo ambae anaweza kumpa ushauri!!!hainiingii akilini labda unalinda himaya yako.
 
TGInnocent

Duh,yaani hadi wanasheria?This is too much acheni usnitch bwana,halafu binti mwenyewe sio binti yake par see,ni binti wao wa karibu,kwanini jamaa asimalizane na huyo mzee kiutu uzima no matter what.

Hizi ba.ngi za kusema eti akaseme kwa mkewe,yaani mnatakiwa mkalishwe sketi kabisa muolewe yaani ukavunje nyumba ya mtu,watu wasio na hatia kwa mambo yanayoweza kusuluhishika na nyie watatu na kuongeza wazee wengine wenye busara!

Hebu acheni mambo ya kike

Aaah LebronWade mtu mwenyewe kalivalia bango hilo jambo inaelekea liko serious sana, sasa akienda kichwa kichwa anaweza kujikuta mzee anafungua kesi ya udhalilishaji, dunia hii imekwisha.
 
Hiyo kazi ya kutunza heshima za watu ulijifunzia wapi Chief?
 
Mkuu hata mimi nakuomba usipanic japo unachukia ukiambiwa hivyo, umekuja humu kuomba ushauri hivyo sio lazima upate support kwa maamuzi unayotaka kuyafanya. Hata mimi nilishwahi kupatwa na jambo kama hilo wakati niko mwalimu wa sekondari huko mkoani Mbeya. Kuna binti wa miaka 15 form 2 alikuwa anatongozwa na mzee wa miaka 54, sasa yule binti alileta kesi kwangu na nilijaribu sana kufuatilia mwisho wa siku niliishia kugombana na yule mzee na aliniambia niache kumfuatilia la sivyo atamtongoza mke wangu. Bahati nzuri au mbaya kuna jamaa alinitonya huyu dingi anamgegeda yule binti njoo uchungulie yupo kwenye geti la mtu, nilienda fasta kuchungulia kwenye tundu la funguo walai niliona kitu live binti anakula koni ya mdingi bila wasiwasi huku yule mzee akipiga kelele za mautamu ya kufa mtu. Nilichoka mkuu tangia hapo sikufuatilia tena hilo suala na mpaka leo huyo dingi atuongei naye. Mie nilikuwa nakushauri kama sio mwanao wa kumzaa potezea tu hilo suala ila mpe somo yule binti kuwa awe makini

hukuitendea haki taaluma yako,utu wako wala jamii yako...mtoto ni ''underage''..na ulichofanya ni kushuhudia ubakaji na kukaa kimya...
 
Ila jaribu kumwambia na kumuonya zaidi huyo Mzee na Umtishie kidogo mpe hofu kwamba utamfanyia mchezo mchafu. Mwenyewe ataelewa.
 
Kuna watu mnaongea humu!!imagine huyo anaeshtakia humu ingekua huyo binti yake wa kazi au wa kuzaa kamleta mzee jamii ya kina Mengi,Bharesa angemtolea nje?zaidi angekula kimyakimya.
Afu huyo mzee kapataje no ya cm ya huyo binti yako,na imekuaje huyo binti akuonyeshe wewe asimwonyeshe mkeo ambae anaweza kumpa ushauri!!!hainiingii akilini labda unalinda himaya yako.
Nilishajibu hilo kwenye comment number #53 soma hapo utanielewa!
 
Kwa hiyo wewe hekima yako ndo hiyo kwamba hata binti yako akikuletea kesi km hiyo utampuuza kwakuamini hivyo unavyoamini!? Unaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndo maana unaringanisha kesi za wapenzi wako na jambo serious km hili. Huyu me ni sawa na mwanangu,ingawa anafanyakazi kwangu,amenipa malalamiko km boss wake lkn pia km mzazi wake.

haya asante kwa kunipima kuwa uwezo wangu ni mdogo ila hyo ni kwa maoni yako..huenda nimekuzidi kila kitu mpaka hata huo uwezo wa kufikiri..ila kwa kuwa hatujuani una haki ya kusema hvo....in short we mtu mzima...mkanye tu binti yako kuwa ampotezee tu huyo mbabu..akituma mesej asijibu wala kupokea simu zake asipokee..kama akiweza kmblock pia afanye hvo...mambo ya kusema sijui umfate huyo mzee uanze kuongea nae bla bla hapo unajiaibisha wewe mkuu amini hilo jiulize utawafata wangapi kumwambia wasimsumbue?? huenda ukafanikiwa kwa huyo mzee kumdhibiti je wengine?? wapo wengi tu wanamsumbua ila kaamua tu kukuweka wazi kwa kuwa eidha hajampenda au walishaanza kudate jamaa kuna vitu flani akazingua ndo maana ukaambiwa...anyway hzo ni assumption zetu ukweli wanaujua wao ila ki ukweli faham tu kuwa mabinti weeeeeengi sana wanatafunwa na watu wa umri wa baba zao..na sababu zipo nyingi na wengine wazijua...hakuna kipya nilichoongea najua wajua....mchana mwema

ni mimi mwenye upeo mdogo wa kufikiri...doyi
 
Ni vyema ukampa onyo la mara ya pili ukiambatana na huyo binti mwoneshe hizo sms kama vithibitisho pia sio mbaya kama ukamtahadharisha mapema kuwa akiendelea na hiyo tabia utaenda kumtaarifu mkewe .
Mambo yakiendelea unaweza kwenda kumshataki kwa mkewe ukiwa na hako katoto na vithibitisho ( sms )magode
 
Ameanzaje kukwambia wewe na sio mkeo, au wewe ndio wale washkaji zetu wanaoitwa baba baby.....???
kabanga.. Hii kauli imekaa kiwivu wivu zaidi kuliko uchungu.. Yaani heading inatosheleza kuonyesha jamaa anaumizwa na wivu..
 
Last edited by a moderator:
haya asante kwa kunipima kuwa uwezo wangu ni mdogo ila hyo ni kwa maoni yako..huenda nimekuzidi kila kitu mpaka hata huo uwezo wa kufikiri..ila kwa kuwa hatujuani una haki ya kusema hvo....in short we mtu mzima...mkanye tu binti yako kuwa ampotezee tu huyo mbabu..akituma mesej asijibu wala kupokea simu zake asipokee..kama akiweza kmblock pia afanye hvo...mambo ya kusema sijui umfate huyo mzee uanze kuongea nae bla bla hapo unajiaibisha wewe mkuu amini hilo jiulize utawafata wangapi kumwambia wasimsumbue?? huenda ukafanikiwa kwa huyo mzee kumdhibiti je wengine?? wapo wengi tu wanamsumbua ila kaamua tu kukuweka wazi kwa kuwa eidha hajampenda au walishaanza kudate jamaa kuna vitu flani akazingua ndo maana ukaambiwa...anyway hzo ni assumption zetu ukweli wanaujua wao ila ki ukweli faham tu kuwa mabinti weeeeeengi sana wanatafunwa na watu wa umri wa baba zao..na sababu zipo nyingi na wengine wazijua...hakuna kipya nilichoongea najua wajua....mchana mwema

ni mimi mwenye upeo mdogo wa kufikiri...doyi

Jamani Doyi usikasirike muda mwingine mtu anaweza akapanic na kukujibu vibaya kwakuwa amekumisunderstand take it easy
 
Last edited by a moderator:
Yaani tofauti ya miaka karibu 30,unasema wanaendana!!?? Kaaazi kweli kweli....!!!!!

Unashangaa nn Mugabe amemzidi mkewe miaka 40 ,kawawa alimzidi mkewe miaka karibia 60 malechela kamzidi anna kilango miaka 40
 
Ndo maana bongo hatuwezi kuendelea mtu una familia una nyumba ndogo bado unabadili vibinti vya chuo kila weekend halafu bado unalalamika maisha magumu. Wakati 70 % ya income yako unapoteza kwenye paluchi.

Wanaopewa hizo 70% wanapeleka wapi na wao?
 
Eti mzee kamtongoza.... unasetiwa wewe!! Kwa nini akwambie wewe na si mkeo?
 
Back
Top Bottom