magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,339
- Thread starter
- #61
LebronWade
Mkuu usiongee kana kwamba mawazo yako ndiyo mawazo bora kuliko mawazo ya wengine. Bandiko lenyewe umelisoma vizuri ukalielewa!? Hatua unazozisema nilishachukua,km ungekuwepo wakati tunaongea na huyo mzee wala usiongea haya maneno. Mzee alikiri kufanya yote niliyoelezwa na binti,akanisihi mno nilikumbatie hili jambo kabla halijafika ktk familia yake.
Me niliheshimu mawazo yake maana aliahidi kutofanya tena! Haikuchukua muda akaanza kupiga simu kwa binti,kwa maelezo ya binti hakupokea simu zake,ndipo akaanza kumtext. Hata hivyo bado sms hatujazipeleka,nikaamua kuja hapa kupata mawazo mapya maana hili ni jukwaa huru. We badala ya kushauri unaanza kushutumu watu eti wanafiki. Toa ushauri tu,na tukiridhika nao tutauchukua!

Last edited by a moderator: