Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

Hizi salamu mbona sikupewa taarifa? Mimi ndo nayefaili kumbukumbu za chama.

Usituletee ukeptenikomba kwenye rasimu ya katiba yetu.

eeeh hata salamu....? basi chama chenu ni noma.

afu ujue huyo ni anko wangu unanikumbusha machungu.....mana nilipanga aje aniimbie kwenye harusi yangu na yule handsome wangu......
 
Binti mmoja wa kabila moja maarufu kutoka kaskazini alikuja kwa babake na kumwambia amepata mchumba. Msee akamwuulisa ana kasi gani? Binti akajibu ana kibanda soko kuu Arusha. Msee akamfukuza na kumwambia asichanganye mapensi na shule kwani binti alikuwa anasoma Uhasibu. Ikapita muda binti akarudi na kumweleza msee kwamba nimepata mchumba mwingine. Binti akaendelea kijana baba yake ana hoteli kubwa ya kitalii Arusha.Msee akamjibu najua mwanangu una akili sana kuchanganya mapensi na shule haiwesi kukupa matatiso. Mlete mkwe nyumbani. Chezea pesa. Funzo umemwona mzee kwa sababu pochi ndogo. Angekuwa na hoteli ya kitalii huyo binti ungempeleka mwenyewe.
Kwenye maelezo yangu hakuna mahali nilipoeleza kuhusu kipato cha huyo mzee,sijui km unazungumzia utajiri gani,huyu mzee kitaaluma ni mhandisi na ana kampuni yake ya ujenzi na vitendea kazi. Anazo fuso,caterpiller nk. Yeye mwenyewe ana gari kubwa ya kutembelea Nissan safari.
 
eeeh hata salamu....? basi chama chenu ni noma.

afu ujue huyo ni anko wangu unanikumbusha machungu.....mana nilipanga aje aniimbie kwenye harusi yangu na yule handsome wangu......
ODM left..............:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:
 
ODM left..............:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:

hahaaa komba alisema ataenda msituni sasa kapotea mazima.....bora ubaki hapahapa babu isije yakatokea kama ya komba.....
 
Kondoo akiona magadi labda umpasue kichwa...la sivyo atazungukia hapohapo tu.

Kama binti ameonyesha ushirikiano andaeni mtego, lakini sio mtego wa kumjazia watu la hasha, ila akishaingia geto na akishavua nguo unaingia na kupiga picha makalio yake...mkishapata hiyo picha ndio mnamwambia ukiendelea na upuuzi wako hii picha utaikuta sebuleni kwako.
 
Mwaache mzee ajilie ngisi wewe umbeya wa nini! papai likisha iva wacha watu walile tu.
 
Mleta post ngoja kwanza. Umesema eti binti analetwa kwako malalamiko....!? Huna mke....? Kama unae, kwanini hapeleki kwa mkeo....!? Nachokiona hapa ni kuzidiana kete tu. Anyway nyote, wewe na yeye kinachowasumbua ni kipenyo tu.
 
Babu acha zako. Mtoto anataka akupeleka mwanza malaika hotel wewe unataka ukapande mlima? Kwanza utaweza kupanda?
Mimi na sister hatujafahamiana barabarani. Migombani ndio zetu:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom