mkuu zali tena......kweli lakini mtoto anakuwa kapata slope...
Mkuu hilo nalo neno kama huyo mkuu anamke inatakiwa zianze kwa wife...Ameanzaje kukwambia wewe na sio mkeo, au wewe ndio wale washkaji zetu wanaoitwa baba baby.....???
hahaaa babu alikuja kutusalimia tu.....
Anaogopa wakubwa wenzake wana rambo, yeye ana muwa iyampwelepwetaaa bureee, bora dogo dogo wanasumaku na cc tunachuma, full kunasiana
Tangu lini ushaona gari bovu linavutwa na gari bovu?
The small the area the high the pressure