Kwanini wanaume wanasuka nywele?


Kwanza sijatoa povu...bali nimekujibu kistaarabu sana tena kwa hoja mzuri zenye mifano tele.
Ila kwa huu uandishi wako wa vijembe na kashfa nitashindwa kujadiliana na wewe na sina budi
kusema ahsante kwa hii comment yako...mshindi ni wewe na mimi nimekubali kushindwa.
 
Dada Evelyn Salt acha kunifurahisha, huyu atakuwa amekosea ku type tuu, na kuandika nywere. Hah hah hah
 

Hebu weka picha tuone kama unapendeza..

C.C. Tyta
 
Last edited by a moderator:

umejibu kwa busara sana...kuheshimu uamuzi wa mtu haimaanishi unakubaliana nao...
 

Lekaga jenejo ng'wana mayo
mwanaume kusuka ni mambo ga sagala sagala gete
 
Hebu weka picha tuone kama unapendeza..

C.C. Tyta
Ha ha haaa...mtihani huo! Anyway hebu jaribu kunivutia hisia au kupiga picha kwenye fikra zako kuwa naonekanaje.
Picha utakayoipata hapo'basi ndiyo niko hivyo hivyo kimuonekano. Ha ha haaa
 
Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú

Sina cha kukupa zaidi ya Ahsante na kauli yangu njema kuwa
NAKUPENDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…