Kwanini wanaume wanaonitongoza ni choka mbaya?

Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls

Ww hujachoka
 
Unatafuta kiki tu..
 
Kila ndege hutua kwenye mti aupendao. Hao unaowaita choka mbaya ndiyo mungu aliokupangia kutokana na wewe mwenyewe ulivyo. Hautakaa uwapate wenye nazo kwa sababu mungu hampi kilicho bora mwenye nyodo.
 
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls

If you are worth more than what they give then why complaining? Quit.... Kama wakaa ndo standard yako
 
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls

Yawezekana na Wewe ukawa na nyota ya Kimasikini.
 
hahahahahahahahahahahaha! Nilikuwa na streesss leo balaaa ila zimeyayuka zote! Wee jamaa umeuwa winga nasubiri aje akanushe aseme yupo UDSM
[emoji75] [emoji75] [emoji75] naongezea hapo mkuu na aseme sio ushonaji ila anachukua Tele haha kama yule mbegu fupi[emoji81] [emoji81]
 
Mwanaume mjanja anatumia fedha/mafanikio yake kama chambo tu. Mjinga ndiyo hutumia na vimwana.
 
Hata hiyo 30,000 bado nyingi. Mimi hata ya sabuni sitoi.... Tafuta zako bibie uvae upendeze watashoboka wenye pesa zao. Sasa wewe unakaaa kishambashamba hao unaodhani wana pesa watakujaje?
 
Back
Top Bottom