Wenye hadhi ya 20, 30 wakoje kwan?Kama hadhi yako ni ya kupewa elfu 20 tatizo liko wapi?
Kuna namna nyingi ya kuvuja jasho so usimuite mwenzio mpenda vya bure hujui jasho analolitoaUnataka kuwa na mwanaume ili akupe hela?? Tafuta zako uepukane na hizo 20 na 30. Hivi kwa nn wadada mnapenda vya bure?? Ndo mana watu wanawatifuatifua tu.
Kwan kasema anahongwa au anapewa? Kwan kutoa ni dhambi?Wazungu wana kamsemo kao 'birds of the same feather flock together' na waswahili nao wanasema waarabu wa pemba wajuana kwa vilemba. Daima anaepaswa kuhongwa haombi hongo. Natumai utapata jibu kupitia vimsemo hivyo
wapi niliposema kahongwa? Mbona unadandia treni kwa mbele dada.Kwan kasema anahongwa au anapewa? Kwan kutoa ni dhambi?
TUPIA PICHA YAKO TUKUTHAMANISHE........................Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Vimsemo vyako uliashiria nn?wapi niliposema kahongwa? Mbona unadandia treni kwa mbele dada.
niliashiria kwamba wewe havikuhusu na ndio maana hukuvielewa. Mchana mwema bi mama.Vimsemo vyako uliashiria nn?
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
hahahaaa you made my day baby babaniliashiria kwamba wewe havikuhusu na ndio maana hukuvielewa. Mchana mwema bi mama.
Kama wanajua mapenzi, kujali, wamajiweka vizuri kiusafi na kujipenda, wanaheshima n.k. hapo hakuna shida kabisa ungejaribu kuwapa nafasi. maana pesa sio kila kitu mwanamke unawapa ushauri na kuwasapoti kujijenga.
Usisahau pia kujiangalia wewe ukoje pia na ujibadili.
You long made mine with your very first comment mama. All in gud spirit...........................hahahaaa you made my day baby baba