Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Ndo kama uyo mtoa madaWenye hadhi ya 20, 30 wakoje kwan?
Ndo kama uyo mtoa madaWenye hadhi ya 20, 30 wakoje kwan?
Haaaaaaaaaa inawezekana anatoa jasho hatari kwa kuzungusha bunoKuna namna nyingi ya kuvuja jasho so usimuite mwenzio mpenda vya bure hujui jasho analolitoa
Unamtetea mwenzako kwa nguvuHata uwe Bilionea Mwanamke kupewa matumizi mdogo madogo na Mpenz ni muhimu, maana humfanya mwanaume awe responsible kwa bibie, Dada chukua hao choka mbaya mmoja mkarabati muanze chini ukufika juu utawapa nafasi wanawake wenzio nao walalamike, hakuna gumu lisilo ufumbuz choka mbaya wa leo furaha ya kesho mpenz
Jasho lipi hilo mkuu...Kuna namna nyingi ya kuvuja jasho so usimuite mwenzio mpenda vya bure hujui jasho analolitoa
To make you happy sio kazi ndogo!Jasho lipi hilo mkuu...
Gadem.... chuo cha ushonaji???Esther nakufaham unasoma chuo cha ushonaji hapa vingunguti,mnaishi Moshi Bar ukonga,Aina ya watu wanaokuzunguka ndo wanakutongoza.
Unatoka na fundi gereji,Kuruta,Bodaboda alafu wataka tajiri wa vits akutongoZe
Huku ni kupinga agizo la muumba, seriousAmkeni wanawake tusake hela pamoja...otherwise ur pubic part will suffer to the maximum
[emoji23][emoji23][emoji23]akianza maskini mmojaKwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
*tunatesekekajeee*Na bado kwa jinsi Magu anavyozidi kubana hata hiyo 30, 20 utaisikilizia kwenye bombaa....Wanaume wengi wameacha vimada vyao wale waliokuwa wanawaendeshea maisha kwa ajili ya pesa za mkato...Na baadhi ya kina dada waliokuwa wamezoea kuendesha maisha kwa kutegemea kuhongwa hongwa wanateseka sana sasa...